sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Warudishwe makwao tuuWaarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
wajinga tu hao, kama wana hasira si wapande ndege waende Gaza wakapigane?Dagestan ni mji uliojaa waislam huko nchini Urusi, Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel
Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport
View attachment 2797239
Hao sio waarabu, hao ni warusi wapo kwenye Nchi yao. Na wala si wahamiajiWaarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Unajidanganya. Ronaldo yupo wapi vile? Vatican?Waarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Umeumia? Kawaombee basiwajinga tu hao, kama wana hasira si wapande ndege waende Gaza wakapigane?
mi nina shida gani kwani? wao kama wana hasira sana wapande ndege wakapigane Gaza, au la, ni waoga tu hao.Umeumia? Kawaombee basi
Kawaombee. Kaombe viza haraka uwahimi nina shida gani kwani? wao kama wana hasira sana wapande ndege wakapigane Gaza, au la, ni waoga tu hao.
Usieumie kwani wewe ni mayahudi?Mbona ni wapuuzi hivyo? Kwa hiyo walitaka wayahudi wakishambuliwa watulie tu kama maboya
Dagestan na Waarabu wapi na wapi?Waarabu wapo wengi Sana ulaya utafika kipindi watapigwa ban warudi kwenye nchi zao
Wao wanaamini kila anaempinga Israel ni mwarabu. Hawa Sunday school imewaharibuDagestan na Waarabu wapi na wapi?
Kwanini hausemi watawashika Warusi?
Kwani kila Myahudi ni Muisrael?Mji wa Dagestan unasifika kuwa miongoni mwa miji michache nchini Urusi iliyojaa waislam, Kwenye vita inayoendelea kwa sasa zimeibuka hisia za chuki dhidi ya wayahudi, Airport imevamiwa kwa lengo la kumkamata muyahudi yeyote baada ya ndege kutuoa iliyotokea Israel
Wakiwa wanaisubiri ndege kutua
View attachment 2797242
Baada ya ndege kutua wamevamia Airport
View attachment 2797239
Halafu inawezekana bosi wako muislam na mlango wa gari unamfubgulia Jinga sana weweWaislamu hawajawahi kujitambua