Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Kijakazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
7,093
Reaction score
10,469
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!

1654927341449.jpeg

1654927341449.jpeg
1654925940688.jpeg
 
Kati ya ujinga ambao mababu zetu waliufanya ni kukubali hizi dini. Yaani ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea maana tumepoteza identity yetu kabisa. Unamkuta mhaya wa kamachumu anaishi kama mwalabu wa taleban.

Na kama hatujashituka sasa, race yetu itakuja kutoweka. Dawa ya kutokomeza huu ujinga Wa mara uislam mara ukiristo ni sasa. Turudi nyuma na tuanze upya kufuata misingi ya mababu zetu. Mamiskiti na makanisa yao tuyavunje na kuyachoma moto.
 
Hiyo ni Bukoba KZ Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania KZ, …
View attachment 2256996
Uchokozi mwingine hauna mantiki yoyote, mufti wa waislamu yupo hapo, Rais wa nchi yupo hapo, tatizo liko wapi?

Hao Waarabu ndio waliotowa mpunga wao ndio wenye umuhimu na hiyo picha kutunza kwenye kumbukumbu za events zao ili tajiri anayefadhiri hizo movement aendelee kutowa mpunga zaidi.
 
Wameshajenga shule ngapi za kusoma Watanzania wote?

Kwa karne ya sasa mgeni kutujengea nyumba ya ibada ni aibu, hakuna kitu kirahisi kama kujenga nyumba za ibada ni nguzo na kuta tuu, wenzetu walishaachana na hilo la kujengewa nyumba za ibada na wageni wanachanga wenyewe na wanafanikiwa.

Nchi yetu sio maskini mpaka kupewa msaada wa nyumba ya ibada, kwanza haina thawabu ni sawa sawa na mtu mwenye mikono miwili kuomba hela ya sadaka.

Tutumie sadaka zetu kujenga nyumba za ibada ni sio kujengewa na wageni,
 
Babu zako walikuwa na dini gani?
Kati ya ujinga ambao mababu zetu waliufanya ni kukubali hizi dini. Yaani ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea maana tumepoteza identity yetu kabisa. Unamkuta mhaya wa kamachumu anaishi kama mwalabu wa taleban.

Na kama hatujashituka sasa, race yetu itakuja kutoweka. Dawa ya kutokomeza huu ujinga Wa mara uislam mara ukiristo ni sasa. Turudi nyuma na tuanze upya kufuata misingi ya mababu zetu. Mamiskiti na makanisa yao tuyavunje na kuyachoma moto.
 
Ndugu zangu,
Mtu anapotaka kujadili jambo lolote nI vyema akafanya utafiti kwanza.
Hao ni viongozi wa Ibadh na asili yao ni Oman.

Mfano mzuri ni huu wa Greek Othodox Church (Hellenic).
Kanisa lao lipo Ali Hassan Mwinyi Road.

Itashangaza kuuliza kwa nini katika kanisa lao hakuna Waingereza.
 
Back
Top Bottom