Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
[emoji1][emoji1]Huyo mwenye ndevu nyingi wanafanana sana na viongozi wa Taleban walioko Afghanistan ana undugu nao nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1]Huyo mwenye ndevu nyingi wanafanana sana na viongozi wa Taleban walioko Afghanistan ana undugu nao nini?
Lutemi,Wameletwa ndugu zao kutawala nchi yetu. Sijawahi wafurahia hawa waarabu
ukweli mtupuAlafu ukichunguza hizi nchi za uarabuni michango yao mingi ni miskiti na madrassa. Wazungu wao hospitali na mashule, tafakari
Nioneshe shule ya mzungu wanayosoma watoto bure.Alafu ukichunguza hizi nchi za uarabuni michango yao mingi ni miskiti na madrassa. Wazungu wao hospitali na mashule, tafakari
Mjinga...RACISM.
Bahati mbaya Sana kwenye UISLAM hicho kitu HAKIPO
Magufuli alikuwa na asili ya Burundi siyo siri pia.Kwani hamjui hata Mama ana asili ya Kiarabu, kwani ni siri
Avo...Wameshajenga shule ngapi za kusoma Watanzania wote?
Kwa karne ya sasa mgeni kutujengea nyumba ya ibada ni aibu, hakuna kitu kirahisi kama kujenga nyumba za ibada ni nguzo na kuta tuu, wenzetu walishaachana na hilo la kujengewa nyumba za ibada na wageni wanachanga wenyewe na wanafanikiwa
Nchi yetu sio maskini mpaka kupewa msaada wa nyumba ya ibada, kwanza haina thawabu ni sawa sawa na mtu mwenye mikono miwili kuomba hela ya sadaka
Tutumie sadaka zetu kujenga nyumba za ibada ni sio kujengewa na wageni,
Sio lazima iwe dini.Babu zako walikuwa na dini gani?
Na hutawafurahia kamwe! Jichanganye kwenye mahusiano na Ke wa kiarabu ndipo utajua kuwa hujui.Wameletwa ndugu zao kutawala nchi yetu. Sijawahi wafurahia hawa waarabu
To be honest hilo kosa kwenye hiyo picha watakuwa wameliona baada ya picha kuwekwa JF,Hata kama ni watu wa Oman wamejenga ingependeza wangechukuliwa wawakilishi kadhaa wa kagera .
Kati ya ujinga ambao mababu zetu waliufanya ni kukubali hizi dini. Yaani ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea maana tumepoteza identity yetu kabisa. Unamkuta mhaya wa kamachumu anaishi kama mwalabu wa taleban.
Na kama hatujashituka sasa, race yetu itakuja kutoweka. Dawa ya kutokomeza huu ujinga Wa mara uislam mara ukiristo ni sasa. Turudi nyuma na tuanze upya kufuata misingi ya mababu zetu. Mamiskiti na makanisa yao tuyavunje na kuyachoma moto.