Waislamu wa Tanzania, where are Black People?

Siku sisi waafrika tutakapoachana na hizi falsafa za kigeni ndo tutakapoanza kuheshimika na kuanza kutumia akili zetu vizuri.

Ni sawa kabisa hiyo picha kujaa Waarabu maana Uislam ni falsafa yao. Mwafika ukakae hapo unatafuta nini? Wewe ni mtumwa tu wa kifikra kama unaamini katika Mungu wa Ibrahim.

Ona li-afrika jinga jingine litumwa la fikra hili hapa:

1654931160286.jpeg
 
Ndugu zangu,
Mtu anapotaka kujadili jambo lolote nI vyema akafanya utafiti kwanza.
Hao ni viongozi wa Ibadh na asili yao ni Oman.

Mfano mzuri ni huu wa Greek Othodox Church (Hellenic).
Kanisa lao lipo Ali Hassan Mwinyi Road.

Itashangaza kuuliza kwa nini katika kanisa lao hakuna Waingereza.
Irrellevant
 
To be honest hilo kosa kwenye hiyo picha watakuwa wameliona baada ya picha kuwekwa JF,Hata kama ni watu wa Oman wamejenga ingependeza wangechukuliwa wawakilishi kadhaa wa kagera .
kibaya zaidi hiyo picha haina muwakilishi wa kike.
Inamaana hakuna wanawake waislamu Bukoba nzima?
 
Siku sisi waafrika tutakapoachana na hizi falsafa za kigeni ndo tutakapoanza kuheshimika na kuanza kutumia akili zetu vizuri.

Ni sawa kabisa hiyo picha kujaa Waarabu maana Uislam ni falsafa yao. Mwafika ukakae hapo unatafuta nini? Wewe ni mtumwa tu wa kifikra kama unaamini katika Mungu wa Ibrahim.

Ona li-afrika jinga jingine litumwa la fikra hili hapa:

View attachment 2257102
[emoji1787]
 
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
View attachment 2256996

View attachment 2257031
Kuna kitu nimejifunza.

Mfumo wa taasisi za kiislam ni ethnical. Hii hili ni changamoto kwetu.

Misikiti yote ina wenyewe.
Kwa mfano utasikia kuna msikiti wa Makonde, msikiti wa Manyema, Msikiti wa Ngazija nk. Hapo zamani za kale viongozi wa misikiti hii ilinasibishwa na makabila hayo.

Hali imeanza kubadilika na sasa misikiti imebaki tu majina, lkn yapo makabila mengine wanaendeleza ugonjwa huu.

Tumeubwa makabila na rangi ili tujuane na tusibaguane.

We are human first.
 
Halafu Wazungu wakimbagua Obama unalalamika

Wazee wote wa Tanzania wana asili ya nje ya Tanzania kasoro Mzee Ally Hassan Mwinyi

hata bin Mrisho ana asili ya Umanyema na ndio hilo jina limetokea

Kambarage kwa kina Kagame

Mkapa kwa kina Bakili Muluzi

JPM kwa kina Ntibantunganya
😂😂😂 Mi nilishasema Waafrika ni wabaguzi kuliko wazungu watu wakanirushia mawe, kuna kauli zinatolewa na viongozi wakubwa tu wa Afrika ambazo zingetolewa na mzungu dunia nzima ingelaani
 
Hiyo ni Bukoba KZ Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania KZ, …
View attachment 2256996

View attachment 2257031
Hao wote unaowaona kwenye picha ni waislamu wa madhehebu ya Ibadhi wale ambao wanaposwali hawafungi mikono yao kama wanavyofunga swala waislamu wengine wa madhehebu ya sunni na mengineyo , ndio maana hujawaona watu wengine wa rangi unazoulizia wewe maana wengi wao huwa hawapendi kusali kwenye misikiti ambayo kuanzia Imam mpaka waumini wa kawaida hawafungi swala, sio kwamba wanakatazwa kuswali humo bali ni uamuzi wa muumini mwenyewe kama anataka kuswali na anaruhusiwa kuswali awe amefunga swala au hajafunga swala, na pia madhehebu ya IBADHI huwa wanaposwali huwa hawaitikii kwa kusema Amiiin kwa sauti kama wanavyofanya madhehebu ya Sunni ambao ndio wengi hapa Nchini !! KWA TAARIFA YAKO UISLAMU UNA MADHEHEBU TOFAUTI TOFAUTI KAMA UKRISTO !! MADHEHEBU YA IBADHI WAPO WACHACHE SANA TANZANIA NA DUNIANI KWA UJUMLA !!
 
Kwasababu baba yake Fatma Karume wa nchi jirani alifanya hivyo ili kuondoa ubaguzi na kujitenga kama hapo kwenye picha!

Kwani Waarabu ni asilimia ngapi ya Tanzania achilia mbali Bukoba tunakoongelea ?
 
Hao wote unaowaona kwenye picha ni waislamu wa madhehebu ya Ibadhi wale ambao wanaposwali hawafungi mikono yao kama wanavyofunga swala waislamu wengine wa madhehebu ya sunni na mengineyo , ndio maana hujawaona watu wengine wa rangi unazoulizia wewe maana wengi wao huwa hawapendi kusali kwenye misikiti ambayo kuanzia Imam mpaka waumini wa kawaida hawafungi swala, sio kwamba wanakatazwa kuswali humo bali ni uamuzi wa muumini mwenyewe kama anataka kuswali na anaruhusiwa kuswali awe amefunga swala au hajafunga swala, na pia madhehebu ya IBADHI huwa wanaposwali huwa hawaitikii kwa kusema Amiiin kwa sauti kama wanavyofanya madhehebu ya Sunni ambao ndio wengi hapa Nchini !! KWA TAARIFA YAKO UISLAMU UNA MADHEHEBU TOFAUTI TOFAUTI KAMA UKRISTO !! MADHEHEBU YA IBADHI WAPO WACHACHE SANA TANZANIA NA DUNIANI KWA UJUMLA !!

Unaposema wachache unamaanisha nini. unaweza kunitajia namba angalau niweze kujenga uwiano?
 
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
View attachment 2256996

View attachment 2257031
Ndiyo maana wa RC huwa tunachangishana kujenga makanisa...Ukijenga peke yako au na kikundi chako kulipokea na kuanza kulitumia kanisa hilo inakuwa ishu.. Muulizeni Membe na kanisa alilolijenga huko Rondo
 
Zina faida na hasara zake.
Ila kwa ujumla, uvamizi wa watu weupe kwenye bara letu limetuharibia mfumo wa maisha yetu walioubatiza kama mfumo wa kishenzi. Waafrika hatukua na msamiati wa ukosefu wa ajira, magereza, ulawiti, umaskini, n.k
Kwa hiyo ulitaka tuendelee kuishi kama Wahadzabe? Maana huko hakuna ukosefu wa ajira wala magereza wala umaskini...
 
😂😂😂 Mi nilishasema Waafrika ni wabaguzi kuliko wazungu watu wakanirushia mawe, kuna kauli zinatolewa na viongozi wakubwa tu wa Afrika ambazo zingetolewa na mzungu dunia nzima ingelaani

Waafrika ni masikini na omba omba, na Masikini na omba omba hawezi kuwa Mbaguzi, sema Waafrika tuna inferiority complex hiyo ndiyo shida lkn siyo ubaguzi, Mwafrika utambagua nani hata kama ukitaka kufanya hivyo ? Utambagua Rostamu ? Utambagua Manji? Utambagua Dewji ? Utaanzia wapi kama hata anakupangia nani akuongoze ?

Usichanganye inferiority complex na ubaguzi, ni vitu viwili tofauti kimoja unahitaji power kingine kinaamanisha wewe ni dhaifu, …
 
Sasa watu wanafundishwa
karate na komfuu kwenye nyumba zao za ibada badala
ya kuhubiri wokovu, upendo na
amani, unategemea wawe na
upendo upi kwa watu wengine
kama si kujijengea visasi na
ugaidi kupitia kichaka cha vita
vya kiimani "jihad"?
Kwahiyo unataka kusema huko China Japan na Korea hakuna
amani kwa sababu ya karate na kung fu?
 
To be honest hilo kosa kwenye hiyo picha watakuwa wameliona baada ya picha kuwekwa JF,Hata kama ni watu wa Oman wamejenga ingependeza wangechukuliwa wawakilishi kadhaa wa kagera .
Jenga na wewe halafu uwachukue hao wawakilishi.
 
Hao wote unaowaona kwenye picha ni waislamu wa madhehebu ya Ibadhi wale ambao wanaposwali hawafungi mikono yao kama wanavyofunga swala waislamu wengine wa madhehebu ya sunni na mengineyo , ndio maana hujawaona watu wengine wa rangi unazoulizia wewe maana wengi wao huwa hawapendi kusali kwenye misikiti ambayo kuanzia Imam mpaka waumini wa kawaida hawafungi swala, sio kwamba wanakatazwa kuswali humo bali ni uamuzi wa muumini mwenyewe kama anataka kuswali na anaruhusiwa kuswali awe amefunga swala au hajafunga swala, na pia madhehebu ya IBADHI huwa wanaposwali huwa hawaitikii kwa kusema Amiiin kwa sauti kama wanavyofanya madhehebu ya Sunni ambao ndio wengi hapa Nchini !! KWA TAARIFA YAKO UISLAMU UNA MADHEHEBU TOFAUTI TOFAUTI KAMA UKRISTO !! MADHEHEBU YA IBADHI WAPO WACHACHE SANA TANZANIA NA DUNIANI KWA UJUMLA !!
Samahani. Kufunga swala ndio iko namna gani?
 
Waafrika ni masikini na omba omba, na Masikini na omba omba hawezi kuwa Mbaguzi, sema Waafrika tuna inferiority complex hiyo ndiyo shida lkn siyo ubaguzi, Mwafrika utambagua nani hata kama ukitaka kufanya hivyo ? Utambagua Rostamu ? Utambagua Manji? Utambagua Dewji ? Utaanzia wapi kama hata anakupangia nani akuongoze ?

Usichanganye inferiority complex na ubaguzi, ni vitu viwili tofauti kimoja unahitaji power kingine kinaamanisha wewe ni dhaifu, …
Labda tujue maana ya ubaguzi ni nini?

Labda tujue kwanza maana ya ubaguzi, ubaguzi tunapozungumzia hapa ni kuwa na chuki ama upendeleo kwa mtu kutokana na rangi yake, kabila, dini
Sasa kati ya watu wanaoonyesha upendeleo ama chuki hizi ni Waafrika na Waarabu
Uwe masikini ama mbaguzi ni mbaguzi tu
 
Honestly sina shida na hiyo picha hapo juu ila kuna vitu vimenifikirisha. Hivi hadi leo bado tuna haja ya msaada wa kanisa au Misikiti, kweli!? Kwanini isiwe shule, hospital!?
Wao wanajenga Nyumba za ibada ni hela zao na maamuzi yao,wewe jenga hizo Shule na Hospitali hujakatazwa,unataka kuwapangia matumizi ya hela zao?
 
Back
Top Bottom