Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda wewe ukawakilishe wanawake wenzako hapo.kibaya zaidi hiyo picha haina muwakilishi wa kike.
Inamaana hakuna wanawake waislamu Bukoba nzima?
@icebreaker Huna habari kwamba zoezi limeshapita? Au kichwa unafugia nywele na chawa?Nenda wewe ukawakilishe wanawake wenzako hapo.
Ni kweli kabisa, maana mpaka leo sijui kama ungekuwa anajua kusoma na kuandika.Zina faida na hasara zake.
Ila kwa ujumla, uvamizi wa watu weupe kwenye bara letu limetuharibia mfumo wa maisha yetu walioubatiza kama mfumo wa kishenzi. Waafrika hatukua na msamiati wa ukosefu wa ajira, magereza, ulawiti, umaskini, n.k
Kama zoezi limeshapita kwanini unasema "Wange ita na wanawake" au wewe wakati unatoa hilo povu fuvu lako lilikwambia kua zoezi bado? Hizi akili za Panzi hua mnazitoa wapi?@icebreaker Huna habari kwamba zoezi limeshapita? Au kichwa unafugia nywele na chawa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo mwenye ndevu nyingi wanafanana sana na viongozi wa Taleban walioko Afghanistan ana undugu nao nini?
Labda tujue maana ya ubaguzi ni nini?
Labda tujue kwanza maana ya ubaguzi, ubaguzi tunapozungumzia hapa ni kuwa na chuki ama upendeleo kwa mtu kutokana na rangi yake, kabila, dini
Sasa kati ya watu wanaoonyesha upendeleo ama chuki hizi ni Waafrika na Waarabu
Uwe masikini ama mbaguzi ni mbaguzi tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHalafu Wazungu wakimbagua Obama unalalamika
Wazee wote wa Tanzania wana asili ya nje ya Tanzania kasoro Mzee Ally Hassan Mwinyi
hata bin Mrisho ana asili ya Umanyema na ndio hilo jina limetokea
Kambarage kwa kina Kagame
Mkapa kwa kina Bakili Muluzi
JPM kwa kina Ntibantunganya
Mzee Said mbona nawe chuki dhidi ya ukristo zimekufanya kuwa makengeza. Kweli nyani hajioni..Mjinga...
Inabidi tuwasomeshe hawa ndugu zetu historia ya Uislam.
Mtume SAW anaogoza sala nyuma yake kasimama Bilal, mtu mweusi kutoka Ethiopia.
Mpaka 1964 Amerika mtu mweusi alikuwa hawezi kuingia kanisa la watu weupe.
Maskini ya Mungu hawajui historia chuki dhidi ya Uslam zimewatia upofu.
Sio kosa lako. Kwahiyo wewe umedanganywa ukaamini watu weusi wote waliishi kama Wahadzabe? Na vipi uone yale si maisha ila mfumo aliyokuwekea mzungu ndio maisha mazuri? Tafakari!Kwa hiyo ulitaka tuendelee kuishi kama Wahadzabe? Maana huko hakuna ukosefu wa ajira wala magereza wala umaskini...
Tusome historia. Una hakika gani hakukua na jamii za weusi waliojua kusoma na kuandika kabla ya uvamizi wa watu weupe? Tunapoongelea uvamizi tunazungumzia bara lote la Afrika. Yumkini maisha tuliyokua nayo yalikua mazuri kuliko mfumo waliotuletea.Ni kweli kabisa, maana mpaka leo sijui kama ungekuwa anajua kusoma na kuandika.
To be honest hilo kosa kwenye hiyo picha watakuwa wameliona baada ya picha kuwekwa JF,Hata kama ni watu wa Oman wamejenga ingependeza wangechukuliwa wawakilishi kadhaa wa kagera .
Kwaiyo nawe unafurahia waarabu kwakuwa ni waislaamLutemi,
Huwezi kuwafurahia Waarabu kwa kuwa ni Waislam.
Haishangazi.
Umetosheka na Wazungu.
Mzee unakufuru kwakuwatukuza waarabu kuliko unavyomtukuza muumbaAvo...
Kwa nini unataka kujadili jambo usilolijua?
Istiqama wana shule na hospitali nyingi hapa Tanzania.
Waislam wamekuwa wakijenga misikiti yao toka aza.
Naona tabu kueleza nani waliojenga makanisa hapa Tanganyika.
Sipendi mabishano yasiyo na tija.
Uislam hauna mgeni sote ni ndugu hayo ndiyo mafunzo yetu.
Wenye hali nzuri Uislam unawafunza wakunjue mikono kwa wale wasiokuwanacho.
Si kwa kujega misikiti tu bali kwa kutoa kila aina ya msaada.
Swali moja, kwa nini imekuwa hivyo.Yaani kwa Kasi hii ya kuzaana hiyo race itatowekaje? Wewe sema meza kuu huwezi onekana kwa sababu za umaskini wako..
Top ten ya matajiri Bongo hakuna Hata mweusi mmja,sisi tunajua majungu na fitina tuu.
Unaongelea kujengwa nyumba za ibada kwa misaada ni kutokujitambua, yaani tujitegemee, vipi kuhusu misaada ya madawa, vyoo vya mashule, msaada wa bajeti, msaada wa kujengewe mabarabara, SGR. Hapo vp?Ni kweli kabisa makanisa yaliyojengwa na mkoloni/ mzungu yapo mengi yamebaki kama ya historia kama makanisa pacha ya minara miwili na Anglican zanzibar, Dar es salaam yapo mengi na sehemu nyingi
Lakini kwa sasa unashuhudia baada ya wakristu kujitambua kamwe hawajengewi nyumba za ibada na mzungu
Sisi michango hatutoe chenchi za matumizi au tutegemee matajiri wachache wazawa waliofanya biashara zao.za aina tofauti ,au nyumba za wakfu.
Kwa sasa suala la kushiriki ujenzi wa nyumba ni sehemu ya ibada ambayo kila muumini anashiriki bila kujali hali yake
Utakuwa shuhuda wa kila sehemu mji mpya ukichipuka, kuna makanisa yanajengwa na wazawa yenye viwango na ramani za kisasa na sio kuzungushia ukuta wa matofali tuu
Kama tunaweza kujenga majumba ya kuishi mahekalu, tukaweka furniture za garama halafu mahala pa kuabudu pawe pachafu au tusubiri wageni au matajiri watujengee( Naongea kama Mtanzania na sii muumini wa dini)
Watanzania tubadilike tuulinde utu wetu na tumshukuru Mungu kwa maendeleo tuliyoyafikia. Sisi sasa ni wa kwenda kujenga kwa misaada nchi nyingine ambazo ni maskini au zenye waamini wachache na sio fikra za kutegemea tena wageni.