Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16] mkuu umenikumbusha Jamaa aliehisi Mdogo wangu wa kike ni Mwarabu na wakaenda kufanya manuva ili asibaguliwe na apendwe yaani kwa kile walichokufanya waarabu Walikuwa hawapingi hata Bure wangempa, matokeo wakajua mwenzangu namie siyo Mwarabu[emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321][emoji1321] walitoka nduko Hadi leo sijawahi kuwaona yaaani hamu ya kuowa iliwaisha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] wenzetu wanahesshimika Sana.Na hutawafurahia kamwe! Jichanganye kwenye mahusiano na Ke wa kiarabu ndipo utajua kuwa hujui.
Yani watakutafuta kwa udi na uvumba kukutoa makende na roho yako hata kama una mawe kiasi gani sababu huwa wanatuona waafrika ni nyani au kenge wa bluu tu.
Sijui kama akili zetu zina afya katika bongo maana si kwa kujipendekeza kote huko kujiita Waarabu weusi ili tukubalike lakini tunaishia kuonekana kinyesi tu kwao.