Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
Maaashallah wamependeza sana, Allah awajaalie kheri hawa ndugu zetu, kama ni misikiti tu wanajenga, mashule wanajenga, visima vya maji wanajenga, zahanati wanajenga. 2nawaombea kheri hawa ndugu zetu.
Mleta mada, Allah akuongoze uijue haki.