inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Wazungu waliokuja kufanya biashara,shule na hospitali tunalipia..hao waarabu wa Oman wamejenga shule nyingi,zingine mnazichoma motoAlafu ukichunguza hizi nchi za uarabuni michango yao mingi ni miskiti na madrassa. Wazungu wao hospitali na mashule, tafakari