Panzi Mbishi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2021
- 2,231
- 2,904
Hiyo "bure" umeitoa wapiNioneshe shule ya mzungu wanayosoma watoto bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo "bure" umeitoa wapiNioneshe shule ya mzungu wanayosoma watoto bure.
Ni haohao unaowaona.Hiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
Wengi wa hao Waarabu ni wahaya! Ila hawakutajwa kwa majina yao ya kihaya, mfano wa tatu kushoto ni Sheikh Rutasikanirwa'Omugisha AbdulWahab ibn Bunuar al Quraish Ibun Mutakyamirwa al Khatoum (Katoma).
Baada ya mengi wengine wako wapi?Hahaa! Mbona Mengi amekaa sana top 10 ya matajiri, kutokuwa top 10 haimaanishi ndo tusione mabaya ya kwenye picha. Kwa hyo kwenye hiyo picha tunaonesha utajiri wa watu au uzinduzi wa msikiti ndani ya ardhi yetu? Hapo pichani ni km tumealikwa na waarabu.
Haya mawazo ni ya kijinga kabisa,baadhi ya hao waarabu ni rangi tu lakini ni watanzaniaHiyo ni Bukoba KZ, Tanzania ambapo 99.9% ya Wakazi na Waislamu wa KZ ni Black people, wako wapi kwenye hiyo picha ukiondoa Bakwata na Serikali ? Hapo siyo Omani au Saudia, ni Tanzania, KZ!
Haya mawazo ni ya kijinga kabisa,baadhi ya hao waarabu ni rangi tu lakini ni watanzania
Maneno mazito hayo kwa wenye kujua maana ya maneno !!Tunachukiana sababu tunaogopana,
tunaogopana kwasababu hatujajuana
Hatujuani sababu tunatengana,
dunia ni nzuri walimwengu hawana maana
Kati ya ujinga ambao mababu zetu waliufanya ni kukubali hizi dini. Yaani ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea maana tumepoteza identity yetu kabisa. Unamkuta mhaya wa kamachumu anaishi kama mwalabu wa taleban.
MTU ambaye hapendi au anaogopa kujichanganya na Hao jamaa ndio mwenye hiyo inferiority complex maana anakuwa ama hajiamini au anajidharau mwenyewe !!Wewe ndio unaona hivyo lkn wao ni Waarabu na hata wao wanajichukulia hivyo na kuishi hivyo pia, familia na rafiki zao ni Waarabu pia ila wewe kwa sababu ya kujipendejeza kwa mtu asiyekuthamini unawaona wao ni sawa na wewe, inferiority complex inaitwa hiyo, uko rejected lkn bado unajipeleka!
Je unajua kuwa Mwafrika maana yake sio Rangi ?? Mwafrika maana yake ni wa kutoka bara la Afrika hali kadhalika mwarabu ni wa kutoka bara Arabu vivyo hivyo kwa Waamerika ni wa kutoka bara la America lakini ndani ya hayo mabara na Nchi zilizomo humo watu wake ni wenye rangi tofauti tofauti !! Je ulikuwa unalijua hilo ??! Au hujawahi kutoka nje ya Tanzania tangu uzaliwe ??!!Muhaya ni Mwafrika na hahitaji maelezo, ukimuona unajua ni Muhaya/Mwafrika!
Gud idea ila kuwabadilsha waafrika kweny issue za dini ni ngum mnoKati ya ujinga ambao mababu zetu waliufanya ni kukubali hizi dini. Yaani ni ujinga mkubwa sana kuwahi kutokea maana tumepoteza identity yetu kabisa. Unamkuta mhaya wa kamachumu anaishi kama mwalabu wa taleban.
Na kama hatujashituka sasa, race yetu itakuja kutoweka. Dawa ya kutokomeza huu ujinga Wa mara uislam mara ukiristo ni sasa. Turudi nyuma na tuanze upya kufuata misingi ya mababu zetu. Mamiskiti na makanisa yao tuyavunje na kuyachoma moto.
Inawezekana ukawaza bila kujua unacho waza jibu kwa kuelimisha sio mashindanoInaitwa USOMTAKA KAJA.
Muhammad alisema Kati ya watu Allah anawachukia ni watu weusi, bisha nilete ushahidi
Sio lazima iwe dini.
Dini na dunia ni uharamia wa kifikira
Dini haimtambui mwanamke kama sehemu ya mtu mwenye maamzi Leo mwanamke anafungua sehemu ya kuswalia hii tuiteje?
Nimeweka Hadith hapo juu Allah akisema anamchukia mtu mweusi, na Kuna Hadith nyingine allah anasema Adam alikuwa akimpiga kulia wanatoka watu weupe na wanaenda janah na akimpiga kushoto wanatoka watu weusi na wanaenda motoni na mwoshoni akasema hajaliKARIBU nipe elimu
Unaamini Mungu huyu kwa vile umefundishwa na dini hizi, vinginevyo ungemjua kwa namna nyingine…. kama ni huyu au mwingine.lakini dini ndo zimeleta ustaarabu.
Au ulitaka mitume na manabii watoke mtwara ndo uamini wametumwa na Mungu?
Mbona kuna imam kabisa mwanamke?Dini na dunia ni uharamia wa kifikira
Dini haimtambui mwanamke kama sehemu ya mtu mwenye maamzi Leo mwanamke anafungua sehemu ya kuswalia hii tuiteje?