cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Mzee Said, wewe unajitambulisha ni msomi, mimi ni Mkristo,natambua wazi kihistoria ambapo Ukristo katika baadhi ya sehemu ulienezwa kwa nguvu, na kwa mtu anaye fahamu historia ya uislamu tunajua wazi toka ndani ya Quran na historia jinsi dining hiyo ya Mtume ilivyoenezwa kwa nguvu.Hukatazwi kuitetea dini yako,but be objective Mzee wangu.Fugo...
Nitasemea Uislam kwa kuwa ndiyo dini yangu.
Mimi babu zangu hawakulazimishwa kunga Uslam na kumumini Mungu Mmoja.
Walingia Uislam kwa khiyari zao wenyewe nan si kwa kuwa ni wajinga.
Sisi Waislam hatuna lugha hiyo yako ya kupiga vita dini.
Uzoefu unaonyesha kuwa wenye fikra hizi ukiwachunguza utawakuta ni Wakristo.
Hawa hujitoa katika Ukristo kwa sababu zao na kuanza kupiga vita dini na wakautia Uislam katika hizo chuki zao.
Kwa kawaida hawa watautukana Ukristo lakini sharti na lazima pia waubughudhi Uislam.
Huyu ndugu yetu atambue kuwa katiba ya Tanzani iko wazi kabisa kuhusu dini.
Ikiwa yeye hakuridhika na Ukristo ambayo ndiyo dini yake hana sababu ya kushambulia ian nyingine.