Waislamu wafurika kwenye mlima Minna huko Saudi-Arabia kusherehekea Idd!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Karibu mahujaji milioni 2 wa Kiislamu walikusanyika jana kwenye uwanda wa Mina nchini Saudi Arabia kabla ya kupanda Mlima Arafat, kuashiria kilele cha hija ya kila mwaka ya Hajj na mwanzo wa Eid al-Adha, moja ya sikukuu takatifu zaidi za Uislamu.

Eid al-Adha, ambayo pia inajulikana kama Sikukuu ya Kutoa Kafara, inaadhimisha utayari wa Nabii Ibrahimu (Ibrahim) — baba mkuu wa watu wa Kiyahudi — kumtoa kafara mwanawe kwa utii kwa Mungu kabla ya kondoo dume kutolewa badala yake kulingana na mila ya Kiislamu.

Waislamu wanasherehekea simulizi hili kwa sababu linaangazia mfano wa mwisho wa kujisalimisha kwa mapenzi ya Mungu (Uislamu unamaanisha "unyenyekevu") na unaashiria msingi wa matendo kadhaa makubwa ya ibada ya Kiislamu.

Mila ya Kiislamu kwa ujumla inafundisha kwamba mwana atakayetolewa kafara alikuwa mzaliwa wa kwanza wa Ibrahimu, Ishmaeli (Isma'il), badala ya Isaka, kwani Waislamu wanafuatilia ukoo wao wa kiroho kupitia Ishmaeli.

Tofauti na simulizi ya Biblia ambapo mwana hajui mpango huo hadi dakika ya mwisho, Quran inamwonyesha Ibrahimu akijadili waziwazi maono hayo na mwanawe. Ishmaeli anakubali kwa hiari, akimwambia baba yake afanye anachoamriwa. Kwa hivyo, inaheshimu utii kamili wa baba na mwana.

Nawatakia wasomaji wangu wote Waislamu Eid Mubarak! Isipokuwa wale wanaoshabikia magaidi Kama vile Mzee wa UHARO Ritz na zitto junior

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Hakika ndugu zetu wanajitahidi sana kwenye imani yao. Nidhamu wanayoonyesha kwenye kuabudu ni ya hali ya juu. Kwanini sisi wagalatia upande mwengine tuliopewa kweli na tunaojua ukweli tusiwe hivi? Yesu anatumaindigi kichiz sema tu Yesu ni pendo na huruma na anasamehe isingekuwa hivyo kwa mambo wagalatia tunafanyaga mwamba angeshuka kwa ghazab na kututembezea vitasa vya maana.
 
Ningeshangaa umalize uzi bila kuita waislam magaidi?
Ndiyo maana mimi kila siku nakuambia wewe ni Mjinga!! Kwa maana hiyo wewe Bwege zitto junior ndiyo Uislamu? Au ukitajwa wewe na Mzee wa Uharo Ritz tutakuwa tumeutaja uislamu? Acha ujinga wadanganye wajinga wenzako tu!!
 
Usitishwe na wanafiki hao leo unaweza kuwaona wazuri kesho ukawaona wanachinja mtu kosa tu si Mfuga midevu na majini mwenzao. Au unaweza kumuona ni swala 5 kabisa utashangaa kajitoa mhanga kaua waislamu wenzake kibao!!

Kwa hiyo usitishwe na wanafiki hawa usije shanghai kesho hiyo Jamaa kajitoa mhanga huko Pakistani au Afghanistan kaua waislamu wenzie!!!

Hakuna dini nzuri yenye Upendo kama Ukristo!!
 
Kila gaidi ni muislamu ila sio kila muislam ni gaidi, hiyo sio kweli.
Boya mmoja wewe mmeshachotwa na media za ki west na maneno to ya propaganda uchwara, hakuna muislam gaidi duniani
 
Boya mmoja wewe mmeshachotwa na media za ki west na maneno to ya propaganda uchwara, hakuna muislam gaidi duniani
Ayatollah Ali Khamenei hakuwa Gaidi?
 
Boya mmoja wewe mmeshachotwa na media za ki west na maneno to ya propaganda uchwara, hakuna muislam gaidi duniani
 
Attachments

  • IMG-20260218-WA0058.jpg
    82.2 KB · Views: 10
Hujui kua kiongozi wa ISIS ni amepewa urais wa Syria na Israel -US? Hakuna muislam wa hivyo, vikundi vyote hivyo umetaja ni vya kupigania haki zao sio magaidi kama US anavyosema ukitoa IS na boko haram wanaofadhiliwa na US-Nigeria
 
Propaganda-Uchwara hizo!!
 
Hao ni watalii wa kidini, Tayari wameishaingizia saudia mapato yatokanayo na hija, wajinga ndio waliwao, upuuzi mtupu unafanyika hapo hakuna cha shetani wala sheitwaan wa kupigwa mawe, hivyo ni vituko duniani
 
Hujui kua kiongozi wa ISIS ni amepewa urais wa Syria na Israel -US? Hakuna muislam wa hivyo, vikundi vyote hivyo umetaja ni vya kupigania haki zao sio magaidi kama US anavyosema ukitoa IS na boko haram wanaofadhiliwa na US-Nigeria
walishaona waislam wana akili ndogo, wanarubunika kufanya ugaidi, wapi uliona magaidi ya kikristo yakisumbua dunia? Wakristo wako upstair huwezi kuwarubuni wafanye ugaidi
 
walishaona waislam wana akili ndogo, wanarubunika kufanya ugaidi, wapi uliona magaidi ya kikristo yakisumbua dunia? Wakristo wako upstair huwezi kuwarubuni wafanye ugaidi
Kuna waislamu na kuna waarabu, mbona waajemi hawana mambo hayo?
 
Hakuna dini nzuri yenye Upendo kama Ukristo!!
Hivi si wakristo walifanya ukoloni Africa. Unajua kanisa katoliki liliua wananchi watu million 20 Zaire kwa kusupport harakati za Leopold I. Hapo sijaongelea jinsi Papa alivyounga mkono Afrika kugawanywa na wakoloni na jinsi alivyosupport uvamizi wa Ethiopia. Mifano ni mingi ila wazungu licha ya kuwa wakristo ndio wametesa sana watu weusi na mpaka leo bado wanahujumu rasilimali zetu.
 
walishaona waislam wana akili ndogo, wanarubunika kufanya ugaidi, wapi uliona magaidi ya kikristo yakisumbua dunia? Wakristo wako upstair huwezi kuwarubuni wafanye ugaidi
Kwani ugaidi ni nini? Mfano M23 ni wakristo je nao tuwaite magaidi? Au mpaka wangekua waislam ndio wanakua magaidi.

Kajifunze Biafra war ambapo Nyerere aliwasupport ili wajitenge na Nigeria. Walikua ni magaidi ila wakristo pure.

Hata uingereza kuna magaidi wa IRA ambao wameitesa sana UK miaka ya 80 ilikua ni wakristo.

ANC pia iko listed kama kikundi cha ugaidi na CIA na wao walikua wanalipua majengo ya umma, madaraja, ila hauwezi sikia hata waTanzania tunawaita magaidi kisa ni wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…