Waislamu wafurika kwenye mlima Minna huko Saudi-Arabia kusherehekea Idd!!

Waislamu wafurika kwenye mlima Minna huko Saudi-Arabia kusherehekea Idd!!

Hivi si wakristo walifanya ukoloni Africa. Unajua kanisa katoliki liliua wananchi watu million 20 Zaire kwa kusupport harakati za Leopold I. Hapo sijaongelea jinsi Papa alivyounga mkono Afrika kugawanywa na wakoloni na jinsi alivyosupport uvamizi wa Ethiopia. Mifano ni mingi ila wazungu licha ya kuwa wakristo ndio wametesa sana watu weusi na mpaka leo bado wanahujumu rasilimali zetu.
Vilify were Bumunda Umehakikisha sasa huyo Gaidi kaangamizwa? Au bado unataka ku fuvu a?
 
Back
Top Bottom