johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ngoja tuone!Achana na historia, hapo mwenye umiliki ni yule aliyekaribu na Chama-dola zaidi.
Wewe wasema!Kwani mbona huo mzozo ulishatatuliwa siku nyingi hiyo sio habari tena.
Wale wana masirahi binafsi sio kwa ajiri ya Waislamu.Shehe mkuu wa Bakwata mkoa wa Mwanza anamatatizo yule sio bure.
Amenusurika kipigo!Shehe mkuu wa Bakwata mkoa wa Mwanza anamatatizo yule sio bure.
Conditions for renewal of right of occupancy upon expiry:Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi
Source: Iqra FM radio Mwanza
Kwani sheria za JF haziruhusu?😂Habari ina zaidi ya week
Sio kwamba hicho wanachokifanya ndio ujinga wenyeweWaislam hawataki ujinga
Na angepigwa tu uwa hana hekma yule hata matamshi yake mengi anayoyatoa sio ya kiuongozi wa dini ni kama kiongozi wa Simba au Yanga.Amenusurika kipigo!
Waislamu hawataki ujinga kutoka wapi.?Waislam watata sana.. bakwata ni warithi kisheria wa misikiti iliyojengwa na waarabu enzi za ukoloni.
Hata makanisa yapo yaliyojengwa kabla ya KKKT tanzania wala dayosisi zake haijaanzishwa Tanzania.
Ila kwa sasa yanamilikiwa na hizo dayosisi za KKKT zilizoanzishwa juzi juzi tu.
Mfano kanisa la Luther house posta lile kanisa limejengwa miaka ya 1890s
Ila leo linamilikiwa na dayosisi ya mashariki na pwani ya KKKT tanzania.. huku hiyo dayosisi imezaliwa juzi tu