Kijungu Moto
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 307
- 491
Kabisa [emoji23][emoji23]Na kupewa mabikira 70
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa [emoji23][emoji23]Na kupewa mabikira 70
Yaan wanapenda uzinz sanaKabisa [emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahahahahahahaha.......Jumapili ya leo imekaa kiugomvi ugomvi tu
Ila nyie jamaa nyie...!!!Na kupewa mabikira 70
Ngumi nyingine nimezikuta Mpanda mjini mwezi uliopita wakigombea Msikiti.Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi
Source: Iqra FM radio Mwanza
dah mambo magumu haya yahitaji utulivu mno kuyaweka sawaVurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi
Source: Iqra FM radio Mwanza
FaizaFoxyHivi BAKWATA inaanzia wapi na kuishia wapi ndani ya waislam? Je kuna utaratibu wa kujiunga na BAKWATA kwa waislam?
Kama BAKWATA haijumuishi waislam inatoa wapi nguvu ya kujiita baraza la waislam Tanzania?
Nani alieianzisha BAKWATA? Kwa ajili ya watu gani sasa.
Naona msikiti wa mtambani kinondoni nao bakwata sahv wameuchukuaNgoja tuone!
Naufaham huo msikiti pale kwa Ally said, ila hawa watu 🤔🤔Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi
Source: Iqra FM radio Mwanza
Haki ipo kwa mwenyez MUNGU pekee, hawa wengine ni genge la ulafi wa mali za nyumba za ibada!!
Habari bila picha hainogi!Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake