Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake

Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza

Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi

Source: Iqra FM radio Mwanza
Hawa wavaa kanzu huu ndiyo uhalisia wao
 
Waislam watata sana.. bakwata ni warithi kisheria wa misikiti iliyojengwa na waarabu enzi za ukoloni.

Hata makanisa yapo yaliyojengwa kabla ya KKKT tanzania wala dayosisi zake haijaanzishwa Tanzania.

Ila kwa sasa yanamilikiwa na hizo dayosisi za KKKT zilizoanzishwa juzi juzi tu.

Mfano kanisa la Luther house posta lile kanisa limejengwa miaka ya 1890s

Ila leo linamilikiwa na dayosisi ya mashariki na pwani ya KKKT tanzania.. huku hiyo dayosisi imezaliwa juzi tu
Huwezi fananisha ,KKT na taratibu za kiislamu, kkt Ni dhehebu, bakwata Ni Taasisi ya serikali ya kidini. Waislamu wengi hawaiungi mkono , Huwezi kukuta Baraza la kikristo Tanzania , wakaenda kuchukua kanisa flani , may be Luther house au st.joseph cathedral. Na kujimilikisha. Haitatokea, Baraza litabaki Kama Baraza, na dhehebu Kama dhehebu na kanisa lao
 
Kwaufupi ugomvi wa uongozi kwa waislam hautaisha.
Kwasababu muhamad SAW, kuna makosa alifanya inawezekana bila ya kujua.
pamoja sentence yangu hii ukiitamka msikitini wanaweza hata kukuchinja ila ukweli usemwe.
Mtume alipokalibia kuondoka duniani aliacha usia wake kwa swahaba wake namba moja abbu bakari nafikili, aliwaachia majukumu ya ukuu kwa kulithishana..yani akitoka abbu, apokee mwingine akitoka mwingine aingie mwingine.
Tatizo likaanzia hapo.
Maswahaba ote wanne wale walioachiwa majuku kwa mtindi huo, vifo vyao vya kuawa kwa kuchomwa majambia.sasa hii inaonyesha ni hila za wao wenyewe kua akitoka fulani nitakujs mimi nitaongoza.
Sasa hadi leo misikitini maugomvi ya uongozi hayaishi kalibu kila msikiti duniani kote.
Vigezo vya kupata ushehe wa kuongoza msikiti ni ELIMU, UMRI au BUSARA za mtu.
Sasa asaivi wenye elimu ni wengi...kila mtu anamzalau mwenzie kua hana elimu kama yeye na anakundi lake nyuma lina msaport..kwanini wasiunde kampeni za kumuondoa alioko hapo.
Ndio unakuta zinapigwa nk.
Baada ya muhammad kufa ile division iliyotokea ya Ali na abuu bakari madhara yake yako mpaka leo
 
Kwani nyumba za ibada wanalipa Kodi?@Freshman
 
Waislamu wa eneo
Sio Bakwata?najua Bakwata wapo nchi nzima na ndio wanatutolea maraisi ikifika zamu yao.Hao wavaa kobazi kina Mohammed Said na faizafox hawana heshima yeyote 🤔
 
Back
Top Bottom