The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Wa mpe Shekhe kipoozeo tuu,namkubali sana Yule Baba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya mgogoro kutatuliwa nani ndio mmiliki wa sasa?🤔
Kwednye sheria za YTanzania kuna kitu kinaitwa "kabidhi wasihi" ambae ndiye mweka hazina wa mali zote zenye utata, zamani alikuwa pale vizazi na vifo, ambayo siu hizi inaitwa RITA, naamini kabishi wasihi bado yupo kisheria.Mali ya waislam itaandikwaje kwenye hati ? Mfano Waislam wapo milioni 20 ama 30 na wanazaliwa na kufa kila siku
Si itakuwa vurugu mechi hiyo hati.
Hata Tanzania kwa mfano ardhi ni mali ya uma. Ila kisheria Rais ndie ana mamlaka ya kuisimamia hiyo ardhi ya uma akituwalilisha uma wa waTanzania . Ndie pekee ana mamlaka wa kuikopea ama kuiuza.
Hivyo Huwezi sema sababu mimi ni sehemu ya uma huu ni mmiliki wa hii ardhi nina mamlaka ya kuifanya chochote.
Bakwata ndie anawakilisha waislam. Mali zote za waislam zinapaswa zisimamiwe na bakwata kama muwakilishi wa hao waislam
Hawa wana akili, wanagombea helaBalaa zito.
Nahisi huo msikiti upo mjini na una fremu za kutosha.
Nani apokee Kodi za fremu za msikiti ndio sababu kuu ya ugomvi.
Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi
Source: Iqra FM radio Mwanza
Kwani nyumba za ibada wanalipa Kodi?@Freshman
Yupo yule mpuuzi Sheikh Ilunga sijui ni mkongo mihadhara yake imejaa chuki.
Naam, umeniita? Tatizo nini?
Ila mapadri kuuawa kanisani nakutiwa kwenye matenki ya maji hiyo ipo katoliki?Kanisa Katoliki Takatifu la Mitume, huwezi sikia huu upuuzi
Bakwata haikuona haya kuuza viwanja vyenye thamani kubwa jijini Dar es salaam wataona haya kunyang'anya Mwanza. Wamefundishwa kazi na walioianzisha.Bakwata imeanzishwa na nyerere Bakwata imejifunza unyanganyi kutoka kwa nyerere, Bakwata wanadhulimu mali za waislamu walioijenga kwa pesa zao wanazimilikisha Bakwata wanakula wao na familia zao. nyerere aliwanyanganya watu nyumba zao zimejengwa miaka hata nyerere hajazaliwa aliposhika urais kawadhulumu watu nyumba zao na kuipa NHC wakati nhc hawajajenga nyumba hata moja zoote za wahindi na waarabu dhulma hii ndio inayotutafuna na inaitafuna bakwata
FaizaFoxy THE BIG SHOW The Boss Ritz Mohamed Said watapinga wakati kila kitu kipo wazi.Mali ya waislam itaandikwaje kwenye hati ? Mfano Waislam wapo milioni 20 ama 30 na wanazaliwa na kufa kila siku
Si itakuwa vurugu mechi hiyo hati.
Hata Tanzania kwa mfano ardhi ni mali ya uma. Ila kisheria Rais ndie ana mamlaka ya kuisimamia hiyo ardhi ya uma akituwalilisha uma wa waTanzania . Ndie pekee ana mamlaka wa kuikopea ama kuiuza.
Hivyo Huwezi sema sababu mimi ni sehemu ya uma huu ni mmiliki wa hii ardhi nina mamlaka ya kuifanya chochote.
Bakwata ndie anawakilisha waislam. Mali zote za waislam zinapaswa zisimamiwe na bakwata kama muwakilishi wa hao waislam
Yaaani wanawafanya ujinga yeye anathema hawataki ujingaSio kwamba hicho wanachokifanya ndio ujinga wenyewe
Naam, umeniita? Tatizo nini hata tupinge tu?
Niliwahi kuandika hivi, bofya ukajisomee:BAKWATA ndio chombo au taasisi madhubuti ya kutetea kulinda mali za Waislam wote Tanzania.
Hizi taasisi nyingine kama Shura ya Maimamu......... zinawakisha fujo na kutuondolea amani watanganyika.