Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana hizo taarifa ndio kwanza unazisikia kwangu? Nyie huko mnauana ndiomaana huwezi kusikia watu wanagombania kanisaWewe ndio utakuwa unapanga mauaji yao na kuratibu kuwaweka kwenye mapipa ya maji...s.h.e.n.z.i
Nyie mnaoangalia mbele si ndio mnaua mapadri kanisaniWaislamu nawafananishaga na pimbi. Pimbi ni mnyama mwenye harakati nyingi zisizo na tija. Hawa angaliagi mbele.
Hii nzuri kuijua, lilijengwa na nani, na kwanini lilikwenda KKKT na siyo dhehebu jingine
Mbona kirahisi sana🤣🤣🙌Balaa zito.
Nahisi huo msikiti upo mjini na una fremu za kutosha.
Nani apokee Kodi za fremu za msikiti ndio sababu kuu ya ugomvi.
Why wakapewa LutheranIlijengwa na Karl Peters mjerumani aliyemtapeli Chifu Mangungo wa Msovero ambaye kitukuu chake ndio Boss wa Simba SC iliyoingia Mkataba na Mo😂😂
👍✍️🙏Lilijengwa na wakoloni wajerumani.. wajerumani ndio walioleta dhehebu la KKKT Tanzania
Kumekucha jino kwa jinoVurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake.
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza.
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi.
Source: Iqra FM radio Mwanza.
Karl Peters alikuwa Mchungaji wa Lutheran Church!Why wakapewa Lutheran
Ndio unavodanganywa vijiweni kahawa shilingi 100Bakwata imeanzishwa na nyerere Bakwata imejifunza unyanganyi kutoka kwa nyerere, Bakwata wanadhulimu mali za waislamu walioijenga kwa pesa zao wanazimilikisha Bakwata wanakula wao na familia zao. nyerere aliwanyanganya watu nyumba zao zimejengwa miaka hata nyerere hajazaliwa aliposhika urais kawadhulumu watu nyumba zao na kuipa NHC wakati nhc hawajajenga nyumba hata moja zoote za wahindi na waarabu dhulma hii ndio inayotutafuna na inaitafuna bakwata
🙏✍️👍Karl Peters alikuwa Mchungaji wa Lutheran Church!
Na baba yake alikuwa Mchungaji na mfadhili
ukimilikiwa na BAKWATA kuna kosa gan ? si ndo baraz la waislam au naelewa tofaut ? nieleweshen km nakoseShehe mkuu wa Bakwata mkoa wa Mwanza anamatatizo yule sio bure.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ila wanapata thawabu kugombea uho msikiti wasiiuwane tu ukipata vidoe tuma hapa tuone kobas zinavyo
Fanya kazi
Zilipigwa ngumi humo ndani acha afu ilikuwa ni shughuli ya kimya kimya siku hiyo aliswalisha shehe 1 hivi muha acha kabisa.
Wengi wamehamia huu msikiti wa uhuru sasa ule wa pale maarafu msikiti wa ijumaa (nyerere road) upo chini ya bakwata
Sasa waumini walipohamia huo wa hapo uhuru hawataki bakwata ihusike na huu msikiti mpya (uhuru road) sijui kama itawezekana labda ccm iwe imekufa!
Bakwata inataka kodi za huo msikiti jambo ambalo waumini hawataki make hata uwanja ulipojengwa huo msiki ulitolewa na familia ya BAJBER miaka hiyo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maostaaadh ngumi wanazirusha bhana nakumbuka tanga miaka hiyo si kuna mwizi alijichanganya akaiba makobazi msikitini wakamdaka..[emoji23][emoji23][emoji23] bwana bwana unaambiwa walivyo wachoyo wakajifungia nae msikitini wapige wenyewe huku nje tunasikia tu puuuu,tiii tiii ,ngwee ngwee vilemba vinaruka hewani kanzu zimekunjwa huyu akirusha teke la karate huyu karusha ngumi basi heka heka mtindo mmoja mwizi kuja kutolewa kawa mnene uso wote(kavimba) hata kutema mate hawezi.. [emoji23][emoji23]
du!!Vurugu zimeibuka Ndani ya Masjid Noor Uhuru st Mwanza baada ya Uongozi wa Bakwata kujimilikisha Msikiti huo na Nyumba zake.
Waumini wameadai Masjid Noor ipo tangu kabla ya Uhuru na watautetea usiporwe na Baraza.
Inadaiwa BAKWATA ndio inamiliki Hati ya kiwanja cha Msikiti baada ya ile ya awali yenye jina la Waumini hao kuexpire na kabla hawajarenew Bakwata ikawahi.
Source: Iqra FM radio Mwanza.
Elewa ivyoivyo.ukimilikiwa na BAKWATA kuna kosa gan ? si ndo baraz la waislam au naelewa tofaut ? nieleweshen km nakose