Maostaaadh ngumi wanazirusha bhana nakumbuka tanga miaka hiyo si kuna mwizi alijichanganya akaiba makobazi msikitini wakamdaka..[emoji23][emoji23][emoji23] bwana bwana unaambiwa walivyo wachoyo wakajifungia nae msikitini wapige wenyewe huku nje tunasikia tu puuuu,tiii tiii ,ngwee ngwee vilemba vinaruka hewani kanzu zimekunjwa huyu akirusha teke la karate huyu karusha ngumi basi heka heka mtindo mmoja mwizi kuja kutolewa kawa mnene uso wote(kavimba) hata kutema mate hawezi.. [emoji23][emoji23]