Waislamu wagombea Msikiti wa Wilaya ya Nyamagana, Ngumi zaibuka Waumini wadai BAKWATA imeundwa huu Msikiti wa Masjid Noor wameukuta!

Wewe ndio utakuwa unapanga mauaji yao na kuratibu kuwaweka kwenye mapipa ya maji...s.h.e.n.z.i
Inamaana hizo taarifa ndio kwanza unazisikia kwangu? Nyie huko mnauana ndiomaana huwezi kusikia watu wanagombania kanisa
 
Kumekucha jino kwa jino
 
Ndio unavodanganywa vijiweni kahawa shilingi 100
 
Zilipigwa ngumi humo ndani acha afu ilikuwa ni shughuli ya kimya kimya siku hiyo aliswalisha shehe 1 hivi muha acha kabisa.

Wengi wamehamia huu msikiti wa uhuru sasa ule wa pale maarafu msikiti wa ijumaa (nyerere road) upo chini ya bakwata

Sasa waumini walipohamia huo wa hapo uhuru hawataki bakwata ihusike na huu msikiti mpya (uhuru road) sijui kama itawezekana labda ccm iwe imekufa!

Bakwata inataka kodi za huo msikiti jambo ambalo waumini hawataki make hata uwanja ulipojengwa huo msiki ulitolewa na familia ya BAJBER miaka hiyo!
 

Mbona makanisa mengi yamejengwa na wakoloni ila taasisi za kikristo zimepewa ziyamiliki.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
du!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…