Spectophotometer
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 378
- 507
Dar es Salaam – Waislamu wameaswa kuendelea kuwaheshimu na kuhifadhi heshima za viongozi wao katika dini na jamii kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Sheikh Ilyasa Jamaa alipokuwa akihutubia swala ya Ijumaa waumini katika Msikiti wa Markaz Omar ibn al-Khattab uliopo Kariakoo, mkabala na makao makuu ya klabu ya Yanga, jijini Dar es Salaam.Taarifa zaidi:
View: https://youtu.be/ZD5JdqRGk1U?si=KZfYQuTSu_HdlEre
View: https://youtu.be/ZD5JdqRGk1U?si=KZfYQuTSu_HdlEre