loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,887
- 6,657
Baadhi ya waislamu kwenye mitandao ya kijamii wanadai yanayomtokea Dotto Magari ni laana kutoka kwa Allah kwasababu amekua akiudhalilisha uislam kwa kula kitimoto na kuvaa cheni ya dhahabu ya msalaba wakati yeye ni Muislam.
Kobaz hao wanadai Dotto alishaonya(gwa) kula kiti moto hadharani na kuvaa msalaba shingoni hakusikia. Matokeo yake.
Dotto Magari ambaye ni maarufu sana kwenye mitandao kama content creator na muhamasishaji ametrend sana mitandaoni kwa kudaiwa ameathirika na ni mviu anasambaza ugonjwa kwa maksudi. Kitendo ambacho kapinga vikali na kuahidi atapima na kuweka majibu hadharani.
Hadi sasa hivi jopo la wambea tunaingia mitamboni mwamba huyo hajathubutu kupima hadharani.