Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Sema jamii nyingi za Asia zina lugha ngumu sana wanazoelewana wao kwa wao kwenye mambo yao.🤣 🤣 🤣 🤣
Hii dunia ina vituko..
Si wangechinja hata mbuzi... kama sheria za hilo jimbo zinasema wasichinje ng'ombe basi wamejitakia...
Mahakama moja katika mji wa Gandhinagar, jimbo la Gujarat nchini India, imewahukumu Waislamu watatu kifungo cha maisha jela kwa kosa la kuchinja ng'ombe.
Katika hukumu yake, mahakama ilirejelea maandiko matakatifu ya dini ya Kihindu, yakiwemo Manu Smriti na Vedas, kueleza umuhimu wa ng'ombe katika imani hiyo.
Kwa mujibu wa shirika la habari la Press Trust of India, Naibu Waziri Mkuu wa jimbo la Gujarat, Harish Singhvi, amepongeza uamuzi huo akisema unatuma ujumbe ulio wazi kuwa sheria za jimbo hilo hazitawasamehe wanaochinja ng'ombe.
Katika hukumu iliyotolewa Jumatatu, Jaji B.R. Rajput aliwaamuru washtakiwa hao kulipa faini ya rupia 300,000 za India, pamoja na adhabu ya kifungo cha maisha.
Mahakama ilisema katika uamuzi wake kuwa iwapo watu wanaotuhumiwa kwa makosa hayo hawataadhibiwa kwa mujibu wa sheria, ng'ombe anayeheshimiwa kama mtakatifu katika imani ya Kihindu, anayejulikana kama “Gau Mata”, huenda akatoweka duniani kadiri muda unavyopita.
Katika uamuzi mwingine, mahakama hiyo pia iliwaadhibu washtakiwa kwa kifungo cha miaka 10 jela na faini ya rupia 100,000 kila mmoja, chini ya Sheria ya Ulinzi wa Wanyama ya Gujarat ya mwaka 1954.
Hata hivyo, adhabu hizo zitatekelezwa kwa wakati mmoja.
Kama kuna wale mke na mume kule Mecca walihukumiwa kifo,nadhani wameshanyongwa... Sasa kuna yule aliyekuwa anasambaza zile picha na video wale mke na mme wakiwa wana kiss msikitini, jamaa ni muhindi ambae anafanya kazi huko Saudia naye yupo jela hadi leo...Sema jamii nyingi za Asia zina lugha ngumu sana wanazoelewana wao kwa wao kwenye mambo yao.
Wanataka Masheikh wale kitimoto 🤣 🤣Huko wasukuma na wamasai hawawezi kutoboa
Ng`ombe tu unafungwa maisha khaa sio haki wakate rufaa!
Wenyewe kwa wenyewe wanatosha kukichafua. Pakistan ni waislamu wote ila Sunni na Shia wanauwana Kila siku.muslims wana chokochoko sana, hakuna anayeweza ku-coexist na muslims, india kuna Christians wengi tu ukifika Goa state wanaishi (majority Christains) na wahindu vizuri kwa amani na respect, lkn muslms vs hindu ni vita, kwa nini? ...
Kwa akili hizi hata kuvuka bala bala kwako shida(barabara)Ulaya uislam ni shida, Africa, India Kila mahali uislam unapokuwepo unasababisha vurugu.
Si kama wanavyouana waislam wa Ukraine na RussiaWenyewe kwa wenyewe wanatosha kukichafua. Pakistan ni waislamu wote ila Sunni na Shia wanauwana Kila siku.
Hapo ndio Ng'ombe wa Tanzania wanapoanza kuona bora wangezaliwa India tu ili wasiliwe nyama.Katika uamuzi mwingine, mahakama hiyo pia iliwaadhibu washtakiwa kwa kifungo cha miaka 10 jela na faini ya rupia 100,000 kila mmoja, chini ya Sheria ya Ulinzi wa Wanyama ya Gujarat ya mwaka 1954.
Hata hivyo, adhabu hizo zitatekelezwa kwa wakati mmoja.
Implication yake ni nini kwa hukumu ya awaliKatika uamuzi mwingine, mahakama hiyo pia iliwaadhibu washtakiwa kwa kifungo cha miaka 10 jela na faini ya rupia 100,000 kila mmoja, chini ya Sheria ya Ulinzi wa Wanyama ya Gujarat ya mwaka 1954.
Ubishi usio na maana umewapoteza hii ni kujiona bora na watakatifu kuliko wengine..🤣 🤣 🤣 🤣
Hii dunia ina vituko..
Si wangechinja hata mbuzi... kama sheria za hilo jimbo zinasema wasichinje ng'ombe basi wamejitakia...
Hahahahaaa kumekuchaWalokole wamefurahi