Waislamu wazindua Jukwaa la KATIBA

jaribu kua serious mazingira ya kuua ukitaka kuyajua angalia alivyonyongwa Saddam na alivyouwawa Gaddafi
 
serikali ya Iran hiyo na uchochezi wao wa kidini! selikali kwa nini hautaki kuufunga ubalozi huo?
 

hivi naomba niulize wakati Edward lowasa anasaini mkataba wa MOU wananchi au waislamu walipata nafasi ya kuulizwa kuhusu hayo makubaliano?na kama hawakupata nafasi ya kujadili kwanini wao wakipnga mambo yao munapinga?
 
Ni haki yao kufanya hivi,
Hata makundi mengine nayo yakiomba yaruhusiwe, km vile Hindu, Budha, Wakatoliki, Protestant, wanawake, walemavu, manesi, mgambo, sungusungu, wajita, wanyakyusa nk.
Ila hakuna kulia .....................................................!!!!
 
Kikubwa ninachokiona ni kwamba hilo jukwaa linaundwa kwa shinikizo la CCM na serikali yake. Lengo hasa waislam wote waiunge mkono propaganda za CCM kuhusu uundwaji wa katiba mpya. Inasadikika pia kwamba mkutana huo unagharamiwa na CCM kuanzia A to Z. Hivyo huu ni mkakati wa CCM kwa wasiyojua huo ndiyo ukweli wenyewe. Sisi waislamu tunanunulika kiurahisi sana. Rai yangu kwa wanaharakati wote ni kwamba agenda zote sizizo na maslahi kwa Wtz wote zitakazoletwa baada ya kongamano hilo tusikubali. Ccm go to hell with your foolish propaganda!!!
 
mi najua hawatafanikiwa sababu ni moja tu...hawapo organized. makanisa yote yana viongozi wao wa juu na ambao wanaheshimika wanapotoa kauli na mara nyingi kauli zao hua ni majumuisho ya critical thinkers wa kanisa na mara nyingi kila baada ya tamko la hawa wakanisa hufatwa na la waislaam, maana yake ni nini?? maana yake ni kwamba wakristo ndio huibua hoja au hoja watoazo wao ndio hua mwiba mchungu kwao.

my suggestion: wajipange kwanza kiuongozi na wawe wanaheshim viongozi wao. sio makundi kila sehemu....wakristo huwa hawafanyi hii kitu wenyewe huwaachia maaskofu, na baraza lao hua lina watu 10 au 15 lakini hoja na mapendekezo yatokayo hapo hua ni nzito na zenye mantik.
 

good move ndugu zangu waislamu (mimi mkristo though......but no hard feelings kwa vile ninaamini huku ndiko kushiriki kikamalifu tunakokulilia na pia kunakotakiwa kuigwa na jamii zetu nyingine).
 
Kwa hiyo hata Profesa Shevji na Beregu ni wajinga hawakusoma sio?..
 

mkuu mkandara, sidhani kama hawa wanaoleta cheap arguments against hii good move ya ninyi waislamu ni wakristo kweli. sidhani.

mimi nawashauri waislamu (na sisi wakristo genuine tukienda sambamba nanyi) muendelee kuwa focused kwenye issues. hii forum mliyoianzisha waislamu mimi binafsi nimeipenda kwa kweli.
 
Mikataba yote inaratibiwa na ofisi ya Mwanasheria Mkuu;-
1.Mark Bomani
2. Joseph Warioba
3. Damian Lubuva
4. Johnson Mwanyika
5. Fredrick Werema
 
Shukran sana mkuu wangu..Sisi wote hapa hatukubaliani na muundo wa sheria ya katiba na tuna asasi zenye ushauri wetu kama jumuiya (yenye mwongozo wake) na ndio maana tulitaka kwanza kabla ya kuwa sheria, wananchi tuweke mapendekezo yetu lakini tumelazimishwa kufuata sheria ilichakachuliwa. Sheria ambayo bado tunaipinga na majuzi tu Shevji kafanya kikao cha katiba sikuwasikia hawa watu wakipiga matusi...

Leo wamefanya Waislaam imekuwa hoja kubwa kwani vikao vya katiba hakuna? mbona taasisi kibao zi -me/nakaa kila siku wakijadili katiba mpya yaani tufuate aloyataka JK ili ndio tuonekane Waislaam safi?..Tushauriane sote kwa makundi yetu ya kijamii lazima tukae pamoja kutoa mawazo yetu na kuyapanga, haiwezekani ati tume ikusanye mawazo ya watu millioni 40 pasipo makundi yao... Hii akili kweli?.. badala ya kumuuliza JK itawezekana vipi tume ikusanye mawazo ya wananchi millioni hata 20 (mtu mmoja mmoja) wenye zaidi ya umri wa miaka 18, how na ku - represent what?..
 
Mikataba yote inaratibiwa na ofisi ya Mwanasheria Mkuu;-
1.Mark Bomani
2. Joseph Warioba
3. Damian Lubuva
4. Johnson Mwanyika
5. Fredrick Werema

Kudadaakee!! Aisee!!
 

Makongamano yalifanyika kabla hamjasherehekea kusaini kwa sheria. Sasa hivi ni kiatu tu. Mlichoshangilia kitawadhuru hata nyinyi. Kwani leo ndio mnaona kuwa haiwezekani kukusanya maoni ya watu 40mil?
 

Ni akili zenu za ki- CUF CUF ndio zinawafanya muamini kuwa chama hakiwezi kusimama bila dini nyuma yake. Na ni kwa sababu hii mmekuwa mkitumiwa kwa maslahi ya wezi kila leo. Hao unaowaita wasomi wa kikristo mimi kwangu siwaoni kama unavyowaona wewe. Mimi nawaona ni wanachama wa CCM ambao nguvu yao inatokana na nyinyi na dini yenu na udini wenu. Igunga ni mfano mmoja mzuri ya jinsi mnavyoweza kutumika kisiasa kwa kuahidiwa mahakama tu, ambayo ukitumia akili tu utagundua kuwa si jambo la maana yeyote kwa wasio waislamu kwa hiyo halina sbb ya kugharimiwa na watu.

Jiandaeni kutumika tena manake uchaguzi wa 2015 kampeni zake zimeshaanza ndani ya CCM na utakapofika mtatumiwa na vyama. Si rahisi kumfunga binadamu nira ya ng'ombe na ndio maana huwezi kumtumia mkristo kisiasa, kwa hiyo kimbilio la wanasiasa wasio na sera ni kuwatumia waislamu.
 
Makongamano yalifanyika kabla hamjasherehekea kusaini kwa sheria. Sasa hivi ni kiatu tu. Mlichoshangilia kitawadhuru hata nyinyi. Kwani leo ndio mnaona kuwa haiwezekani kukusanya maoni ya watu 40mil?

JF, sio sehemu porojo makongamano na mijadala ya katiba inaendelea, wewe huifahamu hiyo sheria..

Wiki mbili zilizopita baada ya JK kusaini hiyo sheria tumeona makongamano na mijadala inaendelea tumewaona kina Issa Shivji, John Mnyika, ITV wanajadili Katiba na hawakukamatwa!

Sasa wewe unaleta maneno ya vijiweni JF, omba ufahamishwe hiyo sheria ilivyo.
 
hivi naomba niulize wakati Edward lowasa anasaini mkataba wa MOU wananchi au waislamu walipata nafasi ya kuulizwa kuhusu hayo makubaliano?na kama hawakupata nafasi ya kujadili kwanini wao wakipnga mambo yao munapinga?

Hivi wakati MOU inasainiwa nani alikuwa rais vile? Inawezekana EL alifanya hivyo behind his back? Basi kama hakujua akane. Mambo mengi wala si tu la MOU yanayofanywa na serkali yankuwa bila kuuliza mawazo ya watu. Unaweza kunieleza wakati JK akisaini muswada wa sheria ya katiba ameuliza maoni kina nani? Nchi hii imeendeshwa bila maoni ya watu katika mambo mengi. Sasa hili la Mou ndilo limekuwa dhambi pekee?
 
Kwa hiyo hata Profesa Shevji na Beregu ni wajinga hawakusoma sio?..

Prof Shivji na Baregu wameipinga hii sheria tangia mwanzo na ndiyo maana walionyesha hata ujasiri wa kuipinga live kwenye tv. Hawa mashehe nao waliipinga hiyo sheria? Laiti ungeona zile kanzu, baraghashia na hijabu zilivyokuwa zinashangilia JK alipokutana na wazee wa dar. Mimi binafsi zaidi ya wewe sijaona muislam mwingine akiipinga hii sheria kandamizi. Ndiyo maana watu wanahoji busara ya hawa viongozi wenu wa dini iko wapi maana wanataka kuvunja sheria waliyoishangilia .
 
Makongamano yalifanyika kabla hamjasherehekea kusaini kwa sheria. Sasa hivi ni kiatu tu. Mlichoshangilia kitawadhuru hata nyinyi. Kwani leo ndio mnaona kuwa haiwezekani kukusanya maoni ya watu 40mil?
Unazungumza vitu gani? waislaam walishangilia lini? mbona mchuro wewe wapi na siku gani waislaam walishangilia kusainiwa kwa Sheria!..Na sii Mnyika aliyekwnda kusaidi yale makubaliano kuhusu muswada na kwamba marekebisho yafanyike kwenye sheria?.. Acheni ujinga makosa yamefanyika na viongozi wetu na sii kwa sababu wao wakristu bali wanaChadema na walikwenda pale wote mchanganyiko wa dini tofauti. Profesa Safari alikuwepo na Mbowe sasa tuseme ilikuwa swala la wakristu?..Nani anawalisha sumu hii mimi nadhani nyie sio Chadema bali ni mapandikizi ya CCM kuja kuipakaza Chadema kionekane chama cha Wakristu..Na hamtaweza... endeleeni mkapalilia Lowassa na MoU yenu.
 
Mikataba yote inaratibiwa na ofisi ya Mwanasheria Mkuu;-
1.Mark Bomani
2. Joseph Warioba
3. Damian Lubuva
4. Johnson Mwanyika
5. Fredrick Werema

Hivi wamesomea kuifisadi nchi au wamemomea nini?? kudadeki

Wote ni WaG halafu mikataba feki ndio chanzo chake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…