Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri.
Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi.
Baada ya Kuona raia hawajasahau kuwa kashindwa kuwakomboa mateka, Netanyahu napenyeza wazo eti HAMAS iachie mateka wachache na badala yake Israel ipunguze mauaji kidogo huko Gaza. HAMAS wamegoma na sasa hali ya kisiasa inazidi kuwa mbaya kwake.
Unaweza kuona video ya waisrael wakiandamana kumtaka Netanyahu ang'oke
View: https://www.youtube.com/watch?v=apR1BR9Jhb4&ab_channel=TimesOfIndia