Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri.
Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi.
Baada ya Kuona raia hawajasahau kuwa kashindwa kuwakomboa mateka, Netanyahu napenyeza wazo eti HAMAS iachie mateka wachache na badala yake Israel ipunguze mauaji kidogo huko Gaza. HAMAS wamegoma na sasa hali ya kisiasa inazidi kuwa mbaya kwake.

Unaweza kuona video ya waisrael wakiandamana kumtaka Netanyahu ang'oke


View: https://www.youtube.com/watch?v=apR1BR9Jhb4&ab_channel=TimesOfIndia

Huyo mpaka sasa alitakiwa kuonekana nyuma ya nondo kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu,Gaza,west bank,lebanon,iran,syria na hata Iraq.
 
Netanyahu anaungwa mkono na hawa waisrael wa huku chunya, mahenge, kaziramimba nk, pia anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wazungu wenzake. Lakini wayahudi wenyewe original wenye Israel yao hawataki hata kumuona.

Nina imani anatuma watoto wa wenzake wakauwawe kwa sababu yeye wa kwake wanasoma na kuishi Miami. Kama angekuwa na mtoto mwanajeshi, i hope asingekubali kuiingiza nchi ya watu katika vita asivyoviweza.

Waisrael waendelee kuandamana na kutaka jumuiya ya kimataifa iwasadie kumrudisha Netanyahu na genge lake kwao Poland. Pale anauwa watoto wa wenzake bure kwa sababu anajua sio wake na nchi sio yake.
Walau ungempongeza bibi kwa kuonesha hiyo demo ya wananchi kwa uwazi kabisa. Nitajie nchi moja tu ya Kiarabu ambayo wananchi wake wanaunga mkono viongozi wake? China, Russia, Uingereza pia hawataki mambo ya kifalme, Australia juzi king Charles kapewa za so na some members of parliament, Tanzania Je😀😃😄😁 kote huko, msuli ndio huaga unatumika kutuliza hali ya mambo kwa wananchi so sio jambo la ajabu. Jiulize why JF jukwaa la siasa nowadays limepoa sana tofauti na enzi za JK? Watu wanaogopa kugongewa HODI, hawataki ya kina Sativa yawatokee; so kitu gani cha ajabu kwa Netanyahu?
 
Back
Top Bottom