Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Nani huyo anaandaaaKila siku mnaandaa maandamano ya waisrael
Nani huyo anaandaaa
Ahaa ok sawa nilikua sijui kama mleta mada yuko Israel kule.Mleta mada
majority ya waandamanaji ni waarabu waisrael.
Wewe dogo wewe funga domo lako, eti vita asivyoviweza unaongea kama unachambua siasa za bongo. Kwa hiyo Hamas kamasi walivyoishambulia Israel ilikuwa ni sawa? ISRAEL haikupaswa kujijitetea? Dunia nzima inajua aliyeagiza uchokozi ni hamas kamasi akifadhiliwa na iran mikojoNetanyahu anaungwa mkono na hawa waisrael wa huku chunya, mahenge, kaziramimba nk, pia anaungwa mkono na asilimia kubwa ya wazungu wenzake. Lakini wayahudi wenyewe original wenye Israel yao hawataki hata kumuona.
Nina imani anatuma watoto wa wenzake wakauwawe kwa sababu yeye wa kwake wanasoma na kuishi Miami. Kama angekuwa na mtoto mwanajeshi, i hope asingekubali kuiingiza nchi ya watu katika vita asivyoviweza.
Waisrael waendelee kuandamana na kutaka jumuiya ya kimataifa iwasadie kumrudisha Netanyahu na genge lake kwao Poland. Pale anauwa watoto wa wenzake bure kwa sababu anajua sio wake na nchi sio yake.
hakuna muisrael anaefanana na waarabu, muisrael ni mtu wa kutangatanga hawana eneo maalum kama walivyo wamasai huko kwenu, mchunguze vizur muarabu mchunguze na netanyahu utaona tofauti kubwamajority ya waandamanaji ni waarabu waisrael.
Mayahudi wanaandama kupinga unyama wa netanyahu lakini huko buza eti mnajipeleka kwa mazayuni wameshakuulieni wakiristo wenzenu tele huko jerusalemBao ni waarabu. Kwahiyo lazima watetee magaidi wenzao
Mtoto wa 2010 unajua vita vya Israel na Hamas (Palestina) vilianza tar 7/10/2023. Sikulaumu kwa vile mwaka huo ndio ulipokuwa unaanza kupata akili, hivyo yaliokuwa yanafanyika huko nyuma wewe hauyajui.Wewe dogo wewe funga domo lako, eti vita asivyoviweza unaongea kama unachambua siasa za bongo. Kwa hiyo Hamas kamasi walivyoishambulia Israel ilikuwa ni sawa? ISRAEL haikupaswa kujijitetea? Dunia nzima inajua aliyeagiza uchokozi ni hamas kamasi akifadhiliwa na iran mikojo
Netanyahu mpoland,mlinganishe na mshambuliaji wa barcelona FC uone,jinale mileikowsky benzionhakuna muisrael anaefanana na waarabu, muisrael ni mtu wa kutangatanga hawana eneo maalum kama walivyo wamasai huko kwenu, mchunguze vizur muarabu mchunguze na netanyahu utaona tofauti kubwa
Anaeweza kurejesha magaidi wa kizayuni walikamatwa ni hamas pekee nanilazima wazayuni watapiga goti kwa hamas nisuala la muda tu maana paka kwakushiriana na idf usaf nato na wengine hawaja weza hawawezi na hawatakaa wawezeNi haki yao kuandamana maandamano ya kipuuzi. Nchi iko vitani halafu wanataka waziri mkuu wao ajiuzulu, huo ni ujuha. Wanamtaka nani ambaye atarejesha mateka wao hao? Hao raia ni hamnazo
Buza ndio wapi?Mayahudi wanaandama kupinga unyama wa netanyahu lakini huko buza eti mnajipeleka kwa mazayuni wameshakuulieni wakiristo wenzenu tele huko jerusalem