Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

Huyo mpaka sasa alitakiwa kuonekana nyuma ya nondo kwa uhalifu dhidi ya ubinadamu,Gaza,west bank,lebanon,iran,syria na hata Iraq.
 
Buza ndio wapi?
Wakiristo wenzenu mimi na nani?
Nani kakwambia mimi ni mkiristo?
Pambaf
Sasa kama ww si mkiristo unapata wapi nguvu ya kushabikia mayahudi
 
Walau ungempongeza bibi kwa kuonesha hiyo demo ya wananchi kwa uwazi kabisa. Nitajie nchi moja tu ya Kiarabu ambayo wananchi wake wanaunga mkono viongozi wake? China, Russia, Uingereza pia hawataki mambo ya kifalme, Australia juzi king Charles kapewa za so na some members of parliament, Tanzania JeπŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜ kote huko, msuli ndio huaga unatumika kutuliza hali ya mambo kwa wananchi so sio jambo la ajabu. Jiulize why JF jukwaa la siasa nowadays limepoa sana tofauti na enzi za JK? Watu wanaogopa kugongewa HODI, hawataki ya kina Sativa yawatokee; so kitu gani cha ajabu kwa Netanyahu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…