Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaonaje wewe nikupeleke israil ukapigane dhidi ya Hamas na utalipwa dollar laki 1 kwa muda wa miaka5. Vipi uko teyari nikupe mchıongo wa kwenda?Hakuna kipya hapo,hiyo ni kawaida kwa vita vyote duniani.Mbona nchi zaidi ya tano za kiarabu wapiganaji wameenda Gaza na bado wamebondwa?.
Bado una Imani na Israel kijeshi?Hii ni hatari sana kwa mgogoro wetu na Malawi kuhusu ziwa Nyasa. Maana yake ni kuwa Malawi inajihakikishia alliance na Wayahudi pindi kikinuka.
Hii kitu serikali yetu ikifuatilie kwa makini sana.
Hela za kula na starehe nitakazo zipo za kutosha,kingine jeshi imara la taifa teule limeshafurusha hao magaidi kwa sasa wanaishi kwenye mashimo kama fuko.Unaonaje wewe nikupeleke israil ukapigane na Hamas na utalipwa dollar laki 1 kwa muda wa miaka5. Vipi uko teyari nikupe mchıongo wa kwenda?
Jeshi lililojaa mashoga haliwezi mtiti endelevu.Bado una Imani na Israel kijeshi?
mkuu mbona unaandika kinyonge sanaUnaonaje wewe nikupeleke israil ukapigane dhidi ya Hamas na utalipwa dollar laki 1 kwa muda wa miaka5. Vipi uko teyari nikupe mchıongo wa kwenda?
Wewe unaamini hivyo vyombo vya Habari vya israil? Rais wa Malawi amesha wauza Wananchi wake waende kupigana huko Gaza wakifa wakipona shauri yao yeye. Rais ameshapata pesa ametia mfukoni. Kipindi hiki cha Vita baina ya israil na Hamas hakuna mambo ya kufanya kazi wao wenyewe wananchi wa israil wanaogopa na kukimbia makazi yao yalipo mpakani mwa gaza na israil. Leo wewe useme eti wanapelekwa kufanya kazi ya Mashamba uongo mkubwa wa vyombo vya habari vya israil wanaficha ukweli wa mambo.Sio kweli...!
Nimeikuta hii habari kwenye Vyombo vya habari vya Israel, Serikali ya Malawi imeingia Mkataba na Israel kuwapeleka Wamalawi kufanya kazi kwenye Mashamba huko Israel...!
Inafanana na project ambazo Watanzania/Wanafunzi toka SUA wanaenda kufanya huko Israel, japo Wanafunzi wa Kitanzania wanaenda kwenye Project za Masomo...!
Hakuna Settlers Duniani anayechukua watu kimasomo, inawezekana Kuna Watu wanakwenda kwa ajili ya kimasomo ila sio kwa Settlers. We Huwajui Settlers hawana tofauti popote pale walipo Duniani. Subiria miezi kadhaa tu habari zake zitakuja.Sio kweli...!
Nimeikuta hii habari kwenye Vyombo vya habari vya Israel, Serikali ya Malawi imeingia Mkataba na Israel kuwapeleka Wamalawi kufanya kazi kwenye Mashamba huko Israel...!
Inafanana na project ambazo Watanzania/Wanafunzi toka SUA wanaenda kufanya huko Israel, japo Wanafunzi wa Kitanzania wanaenda kwenye Project za Masomo...!
Yaan unaamini maisha yanaendel3a kawaida israelSio kweli...!
Nimeikuta hii habari kwenye Vyombo vya habari vya Israel, Serikali ya Malawi imeingia Mkataba na Israel kuwapeleka Wamalawi kufanya kazi kwenye Mashamba huko Israel...!
Inafanana na project ambazo Watanzania/Wanafunzi toka SUA wanaenda kufanya huko Israel, japo Wanafunzi wa Kitanzania wanaenda kwenye Project za Masomo...!
Uache kujipa wewe na magaidi menzako ya kiislam uende gaza umpe jamaaUnaonaje wewe nikupeleke israil ukapigane dhidi ya Hamas na utalipwa dollar laki 1 kwa muda wa miaka5. Vipi uko teyari nikupe mchıongo wa kwenda?
Emu weka Source ya habari yako, hata kama inatoka Hamas mimi ntaamini...!Wewe unaamini hivyo vyombo vya Habari vya israil? Rais wa Malawi amesha wauza Wananchi wake waende kupigana huko Gaza wakifa wakipona shauri yao yeye. Rais ameshapata pesa ametia mfukoni. Kipindi hiki cha Vita baina ya israil na Hamas hakuna mambo ya kufanya kazi wao wenyewe wananchi wa israil wanaogopa na kukimbia makazi yao yalipo mpakani mwa gaza na israil. Leo wewe useme eti wanapelekwa kufanya kazi ya Mashamba uongo mkubwa wa vyombo vya habari vya israil wanaficha ukweli wa mambo.
View attachment 2827048
View attachment 2827050
Kwa hiyo hata hao Watanzania toka SUA wanaenda Israel kwa project za Kilimo wanaenda Kupigana Vitani...!?Hakuna Settlers Duniani anayechukua watu kimasomo, inawezekana Kuna Watu wanakwenda kwa ajili ya kimasomo ila sio kwa Settlers. We Huwajui Settlers hawana tofauti popote pale walipo Duniani. Subiria miezi kadhaa tu habari zake zitakuja.
Umesoma Thread...!? Umesoma Comment yangu!?Yaan unaamini maisha yanaendel3a kawaida israel