Waisrael Wamewachukuwa Raia kutoka nchini Malawi ili waje kuwasaidia kupigana Vita na Hamas

Hakuna kipya hapo,hiyo ni kawaida kwa vita vyote duniani.Mbona nchi zaidi ya tano za kiarabu wapiganaji wameenda Gaza na bado wamebondwa?.
Unaonaje wewe nikupeleke israil ukapigane dhidi ya Hamas na utalipwa dollar laki 1 kwa muda wa miaka5. Vipi uko teyari nikupe mchıongo wa kwenda?
 
Unaonaje wewe nikupeleke israil ukapigane na Hamas na utalipwa dollar laki 1 kwa muda wa miaka5. Vipi uko teyari nikupe mchıongo wa kwenda?
Hela za kula na starehe nitakazo zipo za kutosha,kingine jeshi imara la taifa teule limeshafurusha hao magaidi kwa sasa wanaishi kwenye mashimo kama fuko.
 
Sio kweli...!

Nimeikuta hii habari kwenye Vyombo vya habari vya Malawi, Serikali ya Malawi imeingia Mkataba na Israel kuwapeleka Wamalawi kufanya kazi kwenye Mashamba huko Israel...!

Inafanana na project ambazo Watanzania/Wanafunzi toka SUA wanaenda kufanya huko Israel, japo Wanafunzi wa Kitanzania wanaenda kwenye Project za Masomo...!
 
Sio kweli...!

Nimeikuta hii habari kwenye Vyombo vya habari vya Israel, Serikali ya Malawi imeingia Mkataba na Israel kuwapeleka Wamalawi kufanya kazi kwenye Mashamba huko Israel...!

Wewe unaamini hivyo vyombo vya Habari vya israil? Rais wa Malawi amesha wauza Wananchi wake waende kupigana huko Gaza wakifa wakipona shauri yao yeye. Rais ameshapata pesa ametia mfukoni. Kipindi hiki cha Vita baina ya israil na Hamas hakuna mambo ya kufanya kazi wao wenyewe wananchi wa israil wanaogopa na kukimbia makazi yao yalipo mpakani mwa gaza na israil. Leo wewe useme eti wanapelekwa kufanya kazi ya Mashamba uongo mkubwa wa vyombo vya habari vya israil wanaficha ukweli wa mambo.

MALCOM XXXXX.jpg

Malcolm-X.jpg
 
Hakuna Settlers Duniani anayechukua watu kimasomo, inawezekana Kuna Watu wanakwenda kwa ajili ya kimasomo ila sio kwa Settlers. We Huwajui Settlers hawana tofauti popote pale walipo Duniani. Subiria miezi kadhaa tu habari zake zitakuja.
 
Yaan unaamini maisha yanaendel3a kawaida israel
 
Wewe unaamini hivyo vyombo vya Habari vya israil? Rais wa Malawi amesha wauza Wananchi wake waende kupigana huko Gaza wakifa wakipona shauri yao yeye. Rais ameshapata pesa ametia mfukoni. Kipindi hiki cha Vita baina ya israil na Hamas hakuna mambo ya kufanya kazi wao wenyewe wananchi wa israil wanaogopa na kukimbia makazi yao yalipo mpakani mwa gaza na israil. Leo wewe useme eti wanapelekwa kufanya kazi ya Mashamba uongo mkubwa wa vyombo vya habari vya israil wanaficha ukweli wa mambo.

View attachment 2827048

View attachment 2827050
Emu weka Source ya habari yako, hata kama inatoka Hamas mimi ntaamini...!

Coz hata Video uloweka hapa, inazungumza wazi kuwa Wamalawi wameenda kufanya shughuri za Kilimo...!
 
Hakuna Settlers Duniani anayechukua watu kimasomo, inawezekana Kuna Watu wanakwenda kwa ajili ya kimasomo ila sio kwa Settlers. We Huwajui Settlers hawana tofauti popote pale walipo Duniani. Subiria miezi kadhaa tu habari zake zitakuja.
Kwa hiyo hata hao Watanzania toka SUA wanaenda Israel kwa project za Kilimo wanaenda Kupigana Vitani...!?
 
Back
Top Bottom