Waisrael Wamewachukuwa Raia kutoka nchini Malawi ili waje kuwasaidia kupigana Vita na Hamas


Propaganda za hovyo kabisa kutoka kwa mtu anaeheshimika hapa JF
 
Upo sahihi kabisa mkuu.

Baadhi ya vyombo vya habari vya westen vimelalama sana kuhusu hili.

Eti wanalipwa hila kiduchu dolla 1000 then kila kitu unajitegemee pia wanasema rais wa malawi kahongwa dilla laki 6.
 
Upo sahihi kabisa mkuu.

Baadhi ya vyombo vya habari vya westen vimelalama sana kuhusu hili.

Eti wanalipwa hila kiduchu dolla 1000 then kila kitu unajitegemee pia wanasema rais wa Malawi kahongwa dilla laki 6.
Yeah...! Serikali ya Malawi ilipokea $ 60 millions....!

Wanapewa nyumba then kula unajitegemea, sasa si bora huko kuliko kwenda kufanya kazi Arabuni!...!?
 
Hii ni hatari sana kwa mgogoro wetu na Malawi kuhusu ziwa Nyasa. Maana yake ni kuwa Malawi inajihakikishia alliance na Wayahudi pindi kikinuka.

Hii kitu serikali yetu ikifuatilie kwa makini sana.
Kwamba Tanzania ina haki na mamlaka ya kuichagulia Malawi marafiki?

Mbona Tanzania inapeleka wanafunzi wa kilimo, nk kusoma Israel, vipi Malawi nao wakihoji, au mkuki kwa nguruwe?
 
Sahihi..
Maelezo ya kweli ni ya kwenye video clip yaliyotolewa na mzee Myahudi ndani ya ndege.

Hiyo voice note ya mdada kwenye attachment ni ya mchongo wa propaganda kudanganya wajinga
 
Hivi mkuu ni kwamba lugha haipandi au una maslah mengine?
Hii exchange program ya kwenye agricultural Mbona hata wabongo wameenda huko Israel?
Au pia wataka kusema hii vita itadumu miaka 5?
Mkuu wewe ni member mkongwe lakini habari zako nyingi huwa ni shallow news/ bogus utafiti unao-misled jamii.
 
Kwa hiyo hata hao Watanzania toka SUA wanaenda Israel kwa project za Kilimo wanaenda Kupigana Vitani...!?
Hebu Soma Comment yangu yote nilipo sema wanaenda kupigana Vita ni wapi? Kama unaongea habari za Vita ongea na mtoa Mada comment yangu inaongelea settlers.

1. Watanzania Walioenda Israel walichukuliwa na Settlers?

2. Unawafahamu Settlers kokote Duniani?
 
We Mzee wanaenda kufanya kazi mashambani bana. Vibarua wengi walikuwa wanatokea Gaza (Palestines) sasa kilivyo waka hakuna wa kuvuna wala kukamua ngombe wala usafi.
Kuna watu lugha ni tatizo, wanaishia kuaminishwa uongo
 
Watu wameenda kichukua nafasi za kazi walizo acha wagaza after October 7.. hasara kwa waarabu.. najua itawauma sana ila ujinga ni mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…