Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado una Imani na Israel kijeshi?
Wewe unaamini hivyo vyombo vya Habari vya israil? Rais wa Malawi amesha wauza Wananchi wake waende kupigana huko Gaza wakifa wakipona shauri yao yeye. Rais ameshapata pesa ametia mfukoni. Kipindi hiki cha Vita baina ya israil na Hamas hakuna mambo ya kufanya kazi wao wenyewe wananchi wa israil wanaogopa na kukimbia makazi yao yalipo mpakani mwa gaza na israil. Leo wewe useme eti wanapelekwa kufanya kazi ya Mashamba uongo mkubwa wa vyombo vya habari vya israil wanaficha ukweli wa mambo.
View attachment 2827048
View attachment 2827050
Upo sahihi kabisa mkuu.Sio kweli...!
Nimeikuta hii habari kwenye Vyombo vya habari vya Israel, Serikali ya Malawi imeingia Mkataba na Israel kuwapeleka Wamalawi kufanya kazi kwenye Mashamba huko Israel...!
Inafanana na project ambazo Watanzania/Wanafunzi toka SUA wanaenda kufanya huko Israel, japo Wanafunzi wa Kitanzania wanaenda kwenye Project za Masomo...!
Yeah...! Serikali ya Malawi ilipokea $ 60 millions....!Upo sahihi kabisa mkuu.
Baadhi ya vyombo vya habari vya westen vimelalama sana kuhusu hili.
Eti wanalipwa hila kiduchu dolla 1000 then kila kitu unajitegemee pia wanasema rais wa Malawi kahongwa dilla laki 6.
Mbona hata UKRAIN maisha yanaendelea kama kawaida?Yaan unaamini maisha yanaendel3a kawaida israel
Kwamba Tanzania ina haki na mamlaka ya kuichagulia Malawi marafiki?Hii ni hatari sana kwa mgogoro wetu na Malawi kuhusu ziwa Nyasa. Maana yake ni kuwa Malawi inajihakikishia alliance na Wayahudi pindi kikinuka.
Hii kitu serikali yetu ikifuatilie kwa makini sana.
Sahihi..Sio kweli...!
Nimeikuta hii habari kwenye Vyombo vya habari vya Malawi, Serikali ya Malawi imeingia Mkataba na Israel kuwapeleka Wamalawi kufanya kazi kwenye Mashamba huko Israel...!
Inafanana na project ambazo Watanzania/Wanafunzi toka SUA wanaenda kufanya huko Israel, japo Wanafunzi wa Kitanzania wanaenda kwenye Project za Masomo...!
Dini inapumbaza sana mkuu.wakat najiunga jamii forum nilijuaga wew n mtu smart sana kumbe hamnazo tu kwa sababu video na ulichoweka havina uhusiano
Hivi mkuu ni kwamba lugha haipandi au una maslah mengine?
We Mzee wanaenda kufanya kazi mashambani bana. Vibarua wengi walikuwa wanatokea Gaza (Palestines) sasa kilivyo waka hakuna wa kuvuna wala kukamua ngombe wala usafi.
Wao si taifa lisiloshindika? Mbona wanahaha sasa ? Hizi imani nyingine sometimes ni utumwa wa hiari aiseHakuna kipya hapo,hiyo ni kawaida kwa vita vyote duniani.Mbona nchi zaidi ya tano za kiarabu wapiganaji wameenda Gaza na bado wamebondwa?.
wafanyakazi wa mashambani. Acha hizo wewe
Hebu Soma Comment yangu yote nilipo sema wanaenda kupigana Vita ni wapi? Kama unaongea habari za Vita ongea na mtoa Mada comment yangu inaongelea settlers.Kwa hiyo hata hao Watanzania toka SUA wanaenda Israel kwa project za Kilimo wanaenda Kupigana Vitani...!?
story nyingine mnapeana huko mtongan kwa azizi allyWao si taifa lisiloshindika? Mbona wanahaha sasa ? Hizi imani nyingine sometimes ni utumwa wa hiari aise
Kuna watu lugha ni tatizo, wanaishia kuaminishwa uongoWe Mzee wanaenda kufanya kazi mashambani bana. Vibarua wengi walikuwa wanatokea Gaza (Palestines) sasa kilivyo waka hakuna wa kuvuna wala kukamua ngombe wala usafi.