Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jews ndo walimuua Yesu na siyo RomansKesi ya Yesu kuuawa ilivunja sheria zote.
Kwa mfano ukisoma Biblia utashangaa Yesu alikamatwa usiku akisali kanisani kwake porini kwenye milima ya mizeituni akiomba na wanafunzi wake ambao kwa sababu ya usingizi walikuwa wakilalala hawasali.Walimshika ndani ya kanisa lake porini ambako akitekeleza ibada yake na wanafunzi wake akitumia uhuru nwake wa kuabudu.Usiku haukuwa muda wa kazi.Kwa hiyo kisheria haikuwa sahihi kwao.Pia haikuwa sahihi kumshika akiwa ibadani kwenye chaka ambalo ndio lilikuwa hekalu lake la kuabudia
Pili aliburuzwa kwenye mahakama zao usiku.Katika historia ya sheria hakuna popote mahakama iliwahi fanya vikao vyao usiku mida isiyo ya kazi na majaji wakaendesha kesi
Tatu Kazi ya askari ni kumlinda mtuhumiwa anapopelekwa kwenye mashtaka lakini Yesu alipokuwa akipelekwa mahakamani watu walikuwa wakimzonga ,kumpiga na kumtemea mate mbele ya macho ya askari wa kirumi bila askari hao kuchukua hatua zozote
Nne alipokuwa mahakamani Askari walifanya kitendo cha kihuni alipokuwa akihojiwa na Jaji Alipokuwa akijibizana na jaji askari alimzaba kibao Yesu NDANI YA mahakama kazi ambayo si yake.Huyo askari alivunja sheria ya mahakama mbele ya jaji na jaji hakumchukulia hatua wala jeshi lake halikumchukulia hatua.
Tano,hukumu aliyotoa jaji mrumi Ponsio PILATO ilikuwa ya kihuni na haikubaliki kisheria.Alipohukumu aliuliza umati uliokuwepo mahakamani nimfanyie nini Yesu huyu? Umati ukajibu asulubiwe ,asulubiwe na akakubali na kumhukumu.Kisheria Jaji anatakiwa aangalie sheria zinasemaje kwenye vitabu vyake sio aulize waliohudhuria kusikiliza kesi mahakamani.Katika majaji wajinga waliowahi tokea duniani Ponsio pilato ndio jaji mjinga nambari wani
Sita,aliposulubiwa na kufa Askari maruhuni wa Kirumi WALIGAWANA mavazi yake.Mavazi ni mali ya mtu.Akifa mirathi huwa inatangazwa ili wapatikane warithi kisheria wachukue hizo mali.Lakini za Yesu baada ya kukata roho tu askari wa kirumi waligawiana mirathi pale pale bila kibali cha kisheria.
Nini cha kufanya??? Wakristo waiburuze serikali ya Italia (Waitaliano) iwalipe fidia kwa kumwua mtu wao na wadai mali zile walizogawana (MaVAZI YAKE YA BEI MBAYA) bila kibali cha mahakama wazirudishe na riba juu.
Pia waidai serikali ya Italia ambayo ndio iliyoteua ponsio Pilato ilipe fidia wakristo na waiombe ifukue maiti ya Ponsio Pilato ihukumiwe upya na jopo la majaji
Yesu alihukumiwa kufa na jaji mrumi Ponsio Pilato NA akauawa na askari wa Kirumi kwa hiyo warumi wana kesi ya kujibu kuhusiana na kifo cha Yesu
Upo sahihi sana Mkuu,, NMEPENDA SANA HOJA ZAKO NI NZURI NA VERY LOGICALKesi ya Yesu kuuawa ilivunja sheria zote.

Hata kama waliomuua JESUS ni wayahudi ILA WANAKESI YA KUJIBUJews ndo walimuua Yesu na siyo Romans
kwa nn Wamchalenji MKUU WAO??vijana wa ccm hao wanatarajiwa kumchalenji magufuli.
Katika hili FIKRA ZA MTU N THAMANI KUBWA SANA Tumuunge mkonodaaaah mi naanza kuamini fikra za mtu zaweza kuwa hazina kubwa yenye thamani lakini pia wakati huohuo zaweza kuwa mavumbi
hawawezi kumchalenji Magufulivijana wa ccm hao wanatarajiwa kumchalenji magufuli.
Itabidi uwe mwana Sheria WA yesu.Kesi ya Yesu kuuawa ilivunja sheria zote.
Kwa mfano ukisoma Biblia utashangaa Yesu alikamatwa usiku akisali kanisani kwake porini kwenye milima ya mizeituni akiomba na wanafunzi wake ambao kwa sababu ya usingizi walikuwa wakilalala hawasali.Walimshika ndani ya kanisa lake porini ambako akitekeleza ibada yake na wanafunzi wake akitumia uhuru nwake wa kuabudu.Usiku haukuwa muda wa kazi.Kwa hiyo kisheria haikuwa sahihi kwao.Pia haikuwa sahihi kumshika akiwa ibadani kwenye chaka ambalo ndio lilikuwa hekalu lake la kuabudia
Pili aliburuzwa kwenye mahakama zao usiku.Katika historia ya sheria hakuna popote mahakama iliwahi fanya vikao vyao usiku mida isiyo ya kazi na majaji wakaendesha kesi
Tatu Kazi ya askari ni kumlinda mtuhumiwa anapopelekwa kwenye mashtaka lakini Yesu alipokuwa akipelekwa mahakamani watu walikuwa wakimzonga ,kumpiga na kumtemea mate mbele ya macho ya askari wa kirumi bila askari hao kuchukua hatua zozote
Nne alipokuwa mahakamani Askari walifanya kitendo cha kihuni alipokuwa akihojiwa na Jaji Alipokuwa akijibizana na jaji askari alimzaba kibao Yesu NDANI YA mahakama kazi ambayo si yake.Huyo askari alivunja sheria ya mahakama mbele ya jaji na jaji hakumchukulia hatua wala jeshi lake halikumchukulia hatua.
Tano,hukumu aliyotoa jaji mrumi Ponsio PILATO ilikuwa ya kihuni na haikubaliki kisheria.Alipohukumu aliuliza umati uliokuwepo mahakamani nimfanyie nini Yesu huyu? Umati ukajibu asulubiwe ,asulubiwe na akakubali na kumhukumu.Kisheria Jaji anatakiwa aangalie sheria zinasemaje kwenye vitabu vyake sio aulize waliohudhuria kusikiliza kesi mahakamani.Katika majaji wajinga waliowahi tokea duniani Ponsio pilato ndio jaji mjinga nambari wani
Sita,aliposulubiwa na kufa Askari maruhuni wa Kirumi WALIGAWANA mavazi yake.Mavazi ni mali ya mtu.Akifa mirathi huwa inatangazwa ili wapatikane warithi kisheria wachukue hizo mali.Lakini za Yesu baada ya kukata roho tu askari wa kirumi waligawiana mirathi pale pale bila kibali cha kisheria.
Nini cha kufanya??? Wakristo waiburuze serikali ya Italia (Waitaliano) iwalipe fidia kwa kumwua mtu wao na wadai mali zile walizogawana (MaVAZI YAKE YA BEI MBAYA) bila kibali cha mahakama wazirudishe na riba juu.
Pia waidai serikali ya Italia ambayo ndio iliyoteua ponsio Pilato ilipe fidia wakristo na waiombe ifukue maiti ya Ponsio Pilato ihukumiwe upya na jopo la majaji
Yesu alihukumiwa kufa na jaji mrumi Ponsio Pilato NA akauawa na askari wa Kirumi kwa hiyo warumi wana kesi ya kujibu kuhusiana na kifo cha Yesu
LEARN TO THINK WEWEItabidi uwe mwana Sheria WA yesu.
Yesu Kristo ufalme wake haukua wa dunia hii, alikuja kwa ajili hiyo, kifo chake alikijua toka anakuja na alitakiwa afe kwa aina hiyo ili kusudi lake litimie.
Hiyo kesi ni nani atakua mshtaki na itafunguliwa mahakama gani?
acha kudaganya yesu hakujua anakufa ndo maana alisema baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, sasa hiki kikombe gani acheni kumsingizia masihi
Shudu bin pumbaWale wafuasi wa lucifer hii si habali nzur kwao maana hulazimisha yesu hakufa bali alipotea katika mazingila ambayo hayaeleweki ni yapi
Mnafungua lini kesi yenu?Wale wafuasi wa lucifer hii si habali nzur kwao maana hulazimisha yesu hakufa bali alipotea katika mazingila ambayo hayaeleweki ni yapi
Rome Ni capital city ya Italy...Italy zamani ndo ilikuwa roman empire.Kwani Rome haipo sasa hivi
kaongea uharoUmeongea Mashudu