Waitaliano washtakiwe mahakama za kimataifa kwa kumwua Yesu KRISTO

vijana wa ccm hao wanatarajiwa kumchalenji magufuli.
 
Jews ndo walimuua Yesu na siyo Romans
 
Upo sahihi sana Mkuu,, NMEPENDA SANA HOJA ZAKO NI NZURI NA VERY LOGICAL
 
Itabidi uwe mwana Sheria WA yesu.
 
Yesu Kristo ufalme wake haukua wa dunia hii, alikuja kwa ajili hiyo, kifo chake alikijua toka anakuja na alitakiwa afe kwa aina hiyo ili kusudi lake litimie.

Hiyo kesi ni nani atakua mshtaki na itafunguliwa mahakama gani?


acha kudaganya yesu hakujua anakufa ndo maana alisema baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, sasa hiki kikombe gani acheni kumsingizia masihi
 
acha kudaganya yesu hakujua anakufa ndo maana alisema baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, sasa hiki kikombe gani acheni kumsingizia masihi

Uzuri sipo hapa kubishana. Naiamini Biblia na ndio muongozo wangu.
 
Hiv haya makanisa yenu mapya ndo yanayowafundisha hivi?
 
Yesu ni Mungu aliyekuja katika umbile la kibinadamu (waweza nirekebisha nilipo kosea),sasa kama jibu ni ndiyo

Je kuna mwanadamu wa kumtetea Muumba wake kutokana na dhuluma au mateso kutoka kwa wanadamu wenzake?

Je? Yesu kama ndiye yeye Mungu (aliyeumba dunia na vilivyomo) anahitaji binadamu aliyemuumba ndiye amtafutie haki yake,yaani binadamu amtafutie haki Muumba wake?

Je, yeye Mungu (Yesu) alishindwa kujiokoa katika hizo adhabu?

Mytake
Binadamu ifike kipindi tuhangaike na yale tu yaliyokuwa sababu ya kuumbwa kwetu na kingine bali ni "kumuabudu" yule asiye na mshirika wala msaidizi,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…