Waitaliano washtakiwe mahakama za kimataifa kwa kumwua Yesu KRISTO



yesu aliwaambia wanafunzi wake

“No one has ever seen God” (John 1:18)


HIVI HAO WANAFUNZI WAKE WALIKUWA VIPOFU NA VIZIWI ???
 
acha kudaganya yesu hakujua anakufa ndo maana alisema baba ikiwezekana kikombe hiki kiniepuke, sasa hiki kikombe gani acheni kumsingizia masihi
Mshenzi we malizia huo mstari upate majibu
 
MKUU HAYO MAMBO YALIKUWA LAZIMA KUTENDEKA KWAKUWA MUNGU MWENYWE ALIPANGA HUO MCHEZO, HAKUNA WAKUPINGA,,,ILIKUWA NI LAZIMA,,,
UNAWEZA KUPINGA KUSUDI LA MUNGU?
 
Kuna mtu huku usukumani aliitwa Ngw'anamalundi,uliwahi kumsikia?matendo yake yalikua kama ya YESU.sasa hebu tuachane na ya mtu tusiye mjua maana tuliaminishwa tu wao wenyewe kupitia dini.tumtafute Ngw'anamalundi na kisa cha kifo chake
 
Acha kujipendekeza kwa watu weupe wasiokuhusu.

kama kweli unauchungu tuungane kuwafungulia kesi wajerumani,waarabu na waingereza kwa kuwaua babu zetu na kuwapeleka utumwani.

hayo mambo ya Yesu waachie Wayaudi wenyewe na ndugu yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…