Namimi nimeona. Hapa asipofanya hivyo ana Hali ngumu
Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Nina wasiwasi Waitara anaweza kufukuzwa uanachama wake wa CCM na hivyo kupoteza ubunge wake wa kubambia!
Hana Cha kupoteza hapo maana 2025 chama kinarudi kwa wenyewe hawawezi mpitisha kura za maoni. So kaona afe na wananchi Ili akifukuzwa basi akienda Chadema au ACT alinde kura zake kuelekea 2025. It's a nice strategy Ili kumzidi kete Heche ila nachoona watagawa kura tu na Jimbo litabaki CCM!! Hapa wapinzani wawe makini sama yasijirudie ya 2010 tukagawana kura Tarime ikaenda CCM.Nina wasiwasi Waitara anaweza kufukuzwa uanachama wake wa CCM na hivyo kupoteza ubunge wake wa kubambia!
Anashida gani huyu .. mnafiki mkubwa..Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
View attachment 2574845
Hizi ndiyo lugha ambazo serikali dhwalimu huzielewa.
Bila lugha hizi tutasubiri sana kwa madai yetu yote.
Kwani imekuwaje hatimaye Ruto na Gachagua kuongea lugha za kiutu kama hizi?
View attachment 2574848
Viva wapambanaji wote viva!
Michezo ya siasa imeanza, baada ya juzi kuongea huku akilia ili awaoneshe wapiga kura wake anaonewa, hapewi ushirikiano na idara nyingine za serikali, sasa ndio ameamua liwalo na liwe..
Anashida gani huyu .. mnafiki mkubwa..
Kimeumana
Ruto amekuwa mpoleeeMnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni.
View attachment 2574845
Hizi ndiyo lugha ambazo serikali dhwalimu huzielewa.
Bila lugha hizi tutasubiri sana kwa madai yetu yote.
Kwani imekuwaje hatimaye Ruto na Gachagua kuongea lugha za kiutu kama hizi?
View attachment 2574848
Viva wapambanaji wote viva!
Too late
Hakuna mwenye hatimiliki ya jimbo lolote hapa Tanganyika hata hao unadhania majimbo niyao,waweza kupoteza,au kufariki kabla ya mda,ni Mungu tu ndiye anayejua maisha ya mwanadamu, wewe baki tu chuki zako,kisa aliama Chadema.Huyu chapombe ameshajua kuwa mwisho wa ajira ya siasa kwake ni 2025 ndiyo maana ameamua kuwa roporopo liwawalo naliwe
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Moto uwakeBeberu anasema 'better late than never."