Waitara awashukia vikali Mawaziri. Zungu amjibu hata yeye alikuwa anafanya hivyo hivyo alipokuwa Naibu Waziri

Zungu apumzike Sasa.
 
Pumbavu kipindi Ndungai anaingilia mijadala ya bunge hai 2015-19 mlikuwa mnashangilia!! Saizi mnaona umuhimu wa mijadala HURU?.
Waliokuwa wakifurahia pindi wenzio walipokuwa wakishushiwa vitu vizuto kichwani, Sasa zamu yao imefika wanalia Lia.😜
 
Tunawazee wa hovyo sana taifa hili

USSR
Kumbe wa kijani nanyi mwakerwa? SAY IT LOUD man.
Kama ni kweli tuungane tuiletee nchi hii katiba ya wananchi. Hiyo ndio dawa itakayoweza kuzuia uwepo wa takataka kama hizi.
 
Nasikia wanatokaga na bahasha nono kweli kweli
 
Nasikia wanatokaga na bahasha nono kweli kweli
[emoji106] Ulichosema ni kweli tupu. Toka Enzi hizo wabunge wote wanapiga sana kelele kuhusu mgodi huyo. Lakini wakikodiwa ndege na kwenda kuutembelea huo mgodi, wakirudi utakuta kimyaaaa utafikiri siyo wale waliokuwa wanatoa povu.
Hata hii tume ya Mayelle imefuata mule mule.
 
Nanukuu " Wizi wa Kura unasababisha Wizi mwingine kukua mfano tutakutana na Wizi wa mitihani,Mali za umma,Bandalini,madawa,Ajira ..."

Hiyo nukuu inahitaji tafakuri kubwa vinginevyo wacha tuishi tu.
 
Hii nchi tunaenda utafikiri hakuna watu wapya wa kushika nyazifa,, kila siku majina ni yale yale,, vyeo vilevile,, upigaji uleule,,wajinga ni walewale..

Nothing changes
 
Zungu alishapitwa na wakati.
si ndo mbunge wa Ilala huyu au...ila pale Ilala maghorofani ...asee wanampendaaa lazima sasa hivi yuko paleee bar ya Maghorofani anakula urabu....... sijui kwa nini!...anapenda!...na

wapambe wa Ilala wale hawanaga dogo wanamzungukaga hao!...heee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…