technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Anasema hakuna mwenye mamlaka ya kuwasemea waliokatwa wajisemehe wenyewe.
Anasema wabunge wanaongelea mambo wasiyoyajua uko mtaani hali ni tofauti kabisa.
Mimi nimejiuliza hivi mbunge ni nani mpaka azuiliwe kuongea mambo yanayoendelea jimboni kwake je sio mwakilishi ya waliokatwa ni mwakilishi wa nani?
Je, Waitara anatumia Sheria ipi kuwazuia wabunge wasiongelee mambo ya hovyo yanayoendelea majimboni kwao kuhusu uchaguzi fake?