Waitara: Nina picha za risasi na makaburi, Watu wangu wamepotea

Waitara: Nina picha za risasi na makaburi, Watu wangu wamepotea

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mbunge Mwita Waitara akichangia hoja Bungeni - Mei 15, 2026 alisema; "Mhe. Naibu Spika, nilikuja hapa nikawaambia watu wamepotea Kwihancha, watu wamepotea Karakatonga, Nyanungu. Nikaandika ripoti, sina majibu. Nailaileta tena. Nilisema watu wangu wamepotea maelfu pale kule vijijini. Nikaambiwa nithibitishe, nikaleta dokumenti hapa, sina majibu."

"Nataka majibu ya taarifa ile. Kama mimi ni muongo, mtangaze mimi ni muongo. Kama nimedanganya watu, nishtakiwe. Nina picha za makovu, nina picha za risasi, nina picha za makaburi. Wale ni ndugu zetu na wananchi wananihoji. Naomba Mhe. Waziri nikupe dokumenti hii nataka nipate taarifa ya kweli. Hii hapa, nimeidanganya au nilisema..."

 
GOGOGO!
1780467560198.png
 
Hata hao wabunge unadhani hakuna ndugu ama jamaa zao walipatwa na yale madhila ?
Wameamua kukunjia mkia matak**ni waendelee kula kodi za wananchi .....
 
OCTABA IMEENDA NA ROHO NYNGI ZA WATU KWA HARAKA HARAKA NI ZAIDI YA WATU ALFU KUMI
 
Back
Top Bottom