Uchaguzi 2020 Waitara, Nyamhanga waigawa Tarime kwa maslahi yao binafsi kisiasa

Huyu mlevi sijui walimchagua kwa vigezo gan sijawahi ona kiongozi wa hovyo kama Waitara


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tanzania ina mapungufu makubwa ya Wabunge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heche hana kitu Tarime
 
Umesoma na kuelewa?
 
Ukiona hivyo ujue kichomi kimekaza! Eti mira ! Kwani kata ikigawanywa watashindwa kutambika! Nani hajui mira! Watu wanatoka dar kwenda vijijini kufanya mira sembuse na kugawanywa kwa kata! Akina mwita kamatieni hapohapo mmewashika pabaya chadema! Tunataka tuone kazi watakazo fanya baada ya kukoswa ubunge! Huku mikopo ya bank ikiwasubiri.
 
Kifupi nikwamba wabunge wa chadema wajiandae kufungua mabucha ya nyama, naombea heche apigwe chini harafu wambane sana biashara zake! Tuone kiburi chake champaka kumzarau mh Rais akamwambia wewe ni mwanangu wa kuzaa.
 
Kifupi nikwamba wabunge wa chadema wajiandae kufungua mabucha ya nyama, naombea heche apigwe chini harafu wambane sana biashara zake! Tuone kiburi chake champaka kumzarau mh Rais akamwambia wewe ni mwanangu wa kuzaa.
Kwenye hizo biashara zake ambazo unaombea "wambane" hahudumii jamii inayo mzunguka? TRA hawakusanyi kodi kutokana na biashara hiyo?
Kama analipa kodi, anahudumia jamii, basi, usiruhusu siasa ziendeshe akili zako.Heche anapambana kwa ajili ya familia yake, pambana kwa ajili ya familia yako.
Ni ushauri tu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifupi nikwamba wabunge wa chadema wajiandae kufungua mabucha ya nyama, naombea heche apigwe chini harafu wambane sana biashara zake! Tuone kiburi chake champaka kumzarau mh Rais akamwambia wewe ni mwanangu wa kuzaa.
Kwani Heche anaingiaje hapa??
 
Hata kama sio sahihi hao watu hawakawii kuitiana mishale tahadhari zichukuliwe mapema na yafanyiwe kazi na wahusika kwanza. inaweza isiwe kweli 100% lakini haipungui 60% kweli tupu.
 
Utakuwa umetumwa wewe? Rudi kwa Waitara na Nyamhanga waambie upuuzi huu umeshindwa kulipa!
 
Kwani baada ya kuligawa hilo jimbo wakati wa uchaguzi wagombea wa vyama vingine hawataruhusiwa?
Tukiichukulia positively ni kwamba wigo kwenye eneo hilo hivi sasa umepanuka na ni juu ya wananchi kuamua kura zao ziende wapi.
 
Imenikumbusha tarafa za Tarime
Inchage
Inchugu
Inano
Ingwe
Salam kwa watu wa Kemenge, Ghamasara, Buhembe, Kemakorere, Nyamwaga, Itirio, Nyamongo, Turwa, Nyamisangura, Sabasaba na....
 
Wewe ndiye umepotezwa kabisa na siasa:
1. Waitara si mwanasiasa?
2. Tunajua kuwa ccm inamjengea mazingira na nguvu za kumng'oa Heche; wananchi hawataki, na
3. Kabila lile lina msimamo. Asifikiri ataweza kufaulu kutumia nguvu za dola kushinda uchaguzi.
Atakawafanyia wananchi wa Tarime alichoshindwa jimbo alilokimbia ni nini?
 
Naona wewe ni Nyamhanga combinenga Waitara, ulijiunga siku hiyo hiyo kuja kujitetea hapa. Poleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…