nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
- #41
Huyu mtu alijiunga baada ya uzi ili kujibu, upepo uliwakuna huu.Wewe ndiye umepotezwa kabisa na siasa:
1. Waitara si mwanasiasa?
2. Tunajua kuwa ccm inamjengea mazingira na nguvu za kumng'oa Heche; wananchi hawataki, na
3. Kabila lile lina msimamo. Asifikiri ataweza kufaulu kutumia nguvu za dola kushinda uchaguzi.
Atakawafanyia wananchi wa Tarime alichoshindwa jimbo alilokimbia ni nini?