Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema rushwa ni tatizo kubwa katika mchakato wa uchaguzi, akidai kuwa katika uchaguzi uliopita baadhi ya watu waliteuliwa kwa sababu ya kuwa na fedha na uwezo wa kugawa fedha hadharani.
“Hiyo ni tatizo kubwa hata kwenye uchaguzi uliopita. Mtu anateuliwa kwa sababu ya rushwa, ana hela. Mtu unajua kabisa huyu si mwanasiasa, si kiongozi, ila kwa sababu ana hela na anagawa hela hadharani. Hela inagawiwa hadharani, wala si siri,” amesema Waitara.