PostGE2025 Waitara: Uchaguzi uliopita, Mtu anateuliwa kwasababu ya rushwa, anagawa hela hadharani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Akizunguma kwenye mahojiano na M & S podcast yaliyorushwa Agosti 13, 2026, Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara amesema rushwa ni tatizo kubwa katika mchakato wa uchaguzi, akidai kuwa katika uchaguzi uliopita baadhi ya watu waliteuliwa kwa sababu ya kuwa na fedha na uwezo wa kugawa fedha hadharani.

“Hiyo ni tatizo kubwa hata kwenye uchaguzi uliopita. Mtu anateuliwa kwa sababu ya rushwa, ana hela. Mtu unajua kabisa huyu si mwanasiasa, si kiongozi, ila kwa sababu ana hela na anagawa hela hadharani. Hela inagawiwa hadharani, wala si siri,” amesema Waitara.

Your browser is not able to display this video.
 
Nina wasiwasi kama 2030 ataendelea na biashara ya ubunge. Naona anakiumbua sana chama chake.
 
Huyu kashashiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…