Waiting is over, Gervonta Davis vs Ryan Garcia

Gervonta "Tank" Davis anaingia kwenye historia mpya ya masumbwi duniani kwa kumtwanga Ryan Garcia kwa KO raundi ya 7.
Nilijua tu huyu mwamba sio mchezo, Garcia round ya pili tu alikuwa kala nyasi, Tank ni hatari sana ase
 
Ile knockdown ya raundi ya 2 ilibadilisha mchezo.

Raundi ya 7 Tank alipeleka ngumi nzito eneo la ini (liver) la Garcia na kumaliza kazi.

Garcia alikua anaongea sana kabla ya pambano.

Garcia alikuwa anachonga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…