Cheki kitaa, Huwezi anzisha biashara ya Kukaanga Chips au Mihogo?
Pia unaweza kupika Maandazi, Vitumbua, Keki, Half cake. Ukawa unauza kitaa na ukiweza Kuongea na Maduka ya Jirani ukawa unapeleka na kusupply hivi vitu, cheki na wenye migahawa pia hasa wauza Juice na Maziwa.
Bila Kusahahau Cribs za Mihogo, Ndizi, Viazi pia unaweZa kupeleka madukani.
Pia unaweza kuuza Matunda Ndizi, Machungwa na mengineo.
Ila kumbuka tunaenda kwenye mfungo kwa sasa na kitu kinacholipa ni mihogo, Viazi, Matikiti, Tambi na vyakula vingine.
All in all Hiyo frem achana nayo kama vipi ipangishe upate kodi uongeze kwenye Mtaji.