Gastone.W.Makishe
New Member
- Jul 2, 2013
- 3
- 0
Wana JF mimi ni mwanafunzi natarajia kuhitimu elimu yangu ya sekondari mwaka huu.Ninaomba ushauri wenu wa kufanya biashara gani kipindi nikiwa nyumbani kuliko kukaa tu bila lolote....ninakamtaji kama 150,000 hivi fremu ipo ni yetu lakini ikija kwenye kuchagua aina ya biashara ni mtihani mkubwa...Sasa wanaJF nipeni idea nifanye biashara gani.(SIO VIBAYA KILA MTU AKATAJA BIASHARA ALAFU NIKACHAGUA)AhSnTeNi