Wajameni! Kusapu na kucarry kunashusha G.P.A??

Wajameni! Kusapu na kucarry kunashusha G.P.A??

Ishaaz

Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
21
Reaction score
5
Hiv ukipata sapu ama ukicarry g.p.a inapungua?? na hyo sapu na kucarry kunaweza kukasababisha usiajiliwe mapema ama usipate kazi kabisaaaaa! tuambizane wadau wa jf
 
Back
Top Bottom