Ni mapema mno, kaja hana hata mwezi , mchezo wa jana ni wapili kwake, wachezaji wenyewe hajawajua sawasawa, watanzania wenyewe ni watu wa kulishwa maneno, wamelishwa maneno kwamba Cape Verde ina mpira mdogo na inafungika, wamelishwa maneo kwamba Cape Verde haina uwanja mkubwa wa ndege wa kutua Dreamliner wakati si kweli, Cape Verde wana viwanja vizuri kuliko vya kwetu wana viwanja vya ndege bora kuliko vyetu, wana timu nzuri ya taifa ya mpira kuliko ya kwetu
Kwa hiyo mleta mada ni moja wapo wa watu wa kilishwa maneno, siku hizi kwa nini ungoje kuambiwa? wakati unaweza kugooge tu ukapata ukweli wote?