Wajane na wagane wapewe haki kisheria kuosha maiti za wapendwa wao

Wajane na wagane wapewe haki kisheria kuosha maiti za wapendwa wao

jeipm

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
500
Reaction score
825
Hili Jambo nimekuwa nikilishangaa hasa kutokana na dini kupoka wajibu wa mke au mme kuosha maiti ya mwenzi wake, mkewe au mmewe pale anapopatwa na mauti.

Kwa sababu ndoa ni agano la mme na mke(mwili mmoja) kwa hiyo mme au mke aliyefiwa na mwezie ndie awe na haki ya kumuosha mpendwa wake.

Hii ifanyike kwa wanandoa mme na mke, yeye ndie mwenye ujuzi wa kumuosha, kumpaka mafuta na kumvalisha nguo zake kwa mara ya mwisho. Sababu ni sehemu ya kuonesha upendo na kutimiza ile ahadi ya kutunziana siri za ndani na za nje.

Tuwapeni heshima wapendwa wetu pindi pale wanapotutoka.

Nataka niwaambie viongozi wa kidini na wakimila mnaingilia majukumu ambayo sio yenu, mtu ana mke, mme na watoto ya nini kuingilia majukumu yao.
 
😢😢😢😢😢😭😭😭😭😓😓
 
Back
Top Bottom