Wajane vs wagane

Wajane vs wagane

Ninaomba udadavuzi wa neno "Wagane"kwanza mkuu
 
Umejuaje hilo?

Scope ya utafiti wako ulicover nchi nzima?
 
Mwanaume aliyefiwa na mke/mgane ni rahisi kupata mwenza na kuuvua ugane bali mwanamke aliyefiwa na mume/mjane ni ngumu sana na ndio jibu la swali lako
 
Back
Top Bottom