Unajuaje hao wajanja wanahusika vipi na Samata?
Samata meneja wake ni mtanzania
Nilimuona Shafii Dauda akieleza alivyomshawishi Mrisho Ngassa abaki Marekani alipoenda for trials
ili acheze na Manchester United aoneshe kipaji chake
nilishangaa sana..hasa aliposema Mrisho Ngasa alikuwa hataki
alikuwa analilia kuja kuwahi mechi ya Yanga Dar....
Hii nchi ina vituko